KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Kama wewe maharage ya Mbeya usifikiri wanaume wote ni kama wewe,mwanaume wa shoka anaweza kukaza wanawake wanne na wote wakakojoa na kurowanisha magodoro kila siku kwa miaka arobaini,so kama nyie ni wanaume dhaifu msitujazie pages hapa eboooooooooooo,kefule wakubwa nyie wenye nguvu ndogo kama bajaji ebooooooo,,.Mkuu hata mimi nishawahi kukaa chini nikafikiria hili suala, sio kwamba tunaingilia imani za watu, hapana, ila kiukweli naona kama hawa wanawake hawapati wanachostahili ipasavyo ukizingatia wimbi la wanaume wenye matatizo ya uzazi limekuwa kubwa sana. hata hivyo kiasili na kimaumbile mwanamke ana nishati kubwa sana ndani yake kuliko mwanaume hasa kimaumbile zaidi. sasa najiuliza hawa wanaume wanatimiza kweli majukumu ya kimaumbile ipasavyo? nauliza tu!