sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
ngoja waje wahenga
ngoja waje wahengaHaaa naona umewaxhana wanaume wa dar
midemu maganga zero kabisa,.Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune Kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.. Hii Milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume anamhudumia mwanamke uku analia lia tuu na wengine kushinda mitandaoni kuponda tuu hivi mmesahau starehe gharama? Na ukitaka dem Mkali ujue kuhudumia pia kama huwezi kuhudumia madem wazuri utaishia kuwaaita Shem tuu... Hivi mnavyokua faragha na kutupindua pindua mnadhani ni nini? Na pia mjue si kila unapoambiwa unapendwa unapendwa kweli inapendwa pochi... Na usifikirie ile Milio ni mahaba unamuumiza pengine unazomewa umalize tuu haraka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ukipinduliwa si unahisi raha.....yaan raha nikupe NA pesa pia.....Tatizo lenu mkiwa mapezini mnasahau kwamba wote tuna nafasi sawa ....NA wote tunafaidika......Kwanza sasa HIV mmekuwa wengi sana mtaanza kutulipa NA sisi ili tuwagegede .Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune Kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.. Hii Milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume anamhudumia mwanamke uku analia lia tuu na wengine kushinda mitandaoni kuponda tuu hivi mmesahau starehe gharama? Na ukitaka dem Mkali ujue kuhudumia pia kama huwezi kuhudumia madem wazuri utaishia kuwaaita Shem tuu... Hivi mnavyokua faragha na kutupindua pindua mnadhani ni nini? Na pia mjue si kila unapoambiwa unapendwa unapendwa kweli inapendwa pochi... Na usifikirie ile Milio ni mahaba unamuumiza pengine unazomewa umalize tuu haraka...
Sent using Jamii Forums mobile app