Wanaume wanaolia lia wanamauzi sana

Wanaume wanaolia lia wanamauzi sana

Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.

Hii milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume anamhudumia mwanamke uku analia lia tuu na wengine kushinda mitandaoni kuponda tuu hivi mmesahau starehe gharama?

Na ukitaka msichana mkali ujue kuhudumia pia kama huwezi kuhudumia msichana wazuri utaishia kuwaaita Shem tuu.

Hivi mnavyokua faragha na kutupindua pindua mnadhani ni nini? Na pia mjue si kila unapoambiwa unapendwa unapendwa kweli inapendwa pochi. Na usifikirie ile milio ni mahaba unamuumiza pengine unazomewa umalize tuu haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona tukiwaita nyie wanawake ni chombo cha starehe mnamaind
 
Back
Top Bottom