Wanaume wanaojituma wanapungua, nini kifanyike?

Maisha ya kuigiza kwenye TV yanawafanya vijana kuwa maisha mazuri si lazima upasue mawe au kufanya kazi ngumu n.k,matokeo yake wanakimbilia kwenye mteremko.
 
zeshchriss kwani mario wameanza leo?

Hii dunia ni ya kibepari. Kila mtu anafanya anachoweza. Sasa kama Nimepata Suger mom kanipenda na ana pesa nikatae?

Anyway, kazi watu wanafanya. Huko kujituma anakotaka mtoa mada sijui ni kupi. Hakuna mtu hajitumi sehemu ambako hakuna pesa
Jitumeni tu lakini sio kuwa marioo eeish
 
Habari wakuu,

Twende kwenye mada...

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...

Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.

Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.

Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.

Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".

Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.

Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..

Ni hayo tu...

Karibuni...

Mtoa mada maisha ya zama hizi za kidijitali ni ya akili zaidi kuliko jasho. Ukila kwa jasho utakufa maskini.
 
Habari wakuu,

Twende kwenye mada...

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...

Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.

Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.

Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.

Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".

Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.

Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..

Ni hayo tu...

Karibuni...
Mwanaume mjamzito[emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1562589215739.jpeg
 
Tena hao marioo nawaona wana bahati sana. Hata mm ningepata nafasi ningekuwa. Sasa kama unapata mwanamke anapesa anakulea, kazi yangu mimi ni kula na kupiga mashine, nitafute nini kingine.Ni vile tuu nina Kazi yangu na maisha yanaenda
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena hao marioo nawaona wana bahati sana. Hata mm ningepata nafasi ningekuwa. Sasa kama unapata mwanamke anapesa anakulea, kazi yangu mimi ni kula na kupiga mashine, nitafute nini kingine.Ni vile tuu nina Kazi yangu na maisha yanaenda
We kijana...unasemaje?... acha kushusha hadhi ya vidume wanaojielewa...
 
Hiyo inaitwa mabadiliko ya tabia nchi,maendeleo yanakuja na mengi na bado tutarajie kuona ya ajabu zaidi ya sasa.
 
Habari wakuu,

Twende kwenye mada...

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...

Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.

Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.

Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.

Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".

Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.

Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..

Ni hayo tu...

Karibuni...
Ninyi ndio walezi wa hao wanaume,
Mnawazaa ninyi wafundisheni kazi tangu wakiwa watoto.

Maana utakuta hata mwanao wa kiume ndiyo wakwanza kuharibika, wengine hata hawajawahi kusikia wala kumuona baba anavyofanya kazi, kwa sababu ya ninyi wanawake kuzaa na nje ya ndoa.

Unategemea huyo mtoto atajifunza lolote kutoka kwa baba zaidi ya kuwazoea wanaume unaowaleta nyumbani?

Mbaya zaidi, wanakuja na vizawadi mwisho mtoto amezoea kuona wanaume wanaomleteaga zawadi huingia na mama chumbani kwa akili ya kitoto anajua huenda kuna zawadi nyingine mama huzilia chumbani hanigawii.

Kesho naye anataka kuingia bahati mbaya siku hiyo haupo kijeba anaanza kumtunuku mtoto zawadi ya dildo mwisho wa siku wewe(usiyeolewa) na mzinzi wako (mume wa mtu) mnamuharibu mtoto. Na hapa ndio umuhimu wa ndoa unapoonekana yaani kwa wazazi wote kumlinda mtoto.

Akina mama mnaojiita single mama mna tatizo kubwa sana la kuwaharibu watoto wa kiume
 
Sasa kama nimejipatia li sugar mumy linanipatia mpunga niache? Mbona nyie mkihongwa na mnaona ndo sifa ? Ambacho me sisaport ni Mtoto wa kiume kuwa shoga lakin hayo mengne fresh tu.
 
Siungi mkono swala la mashoga lakini inatakiwa ujue mazingira ya kutafuta pesa yamebadilka kutokana na tecknolojia kukua kadiri siku zinavyozidi kwend hutoana watu wakiendelea kufanya kazi ngumu kama kubeba mizigo mizito na bado watu utaona wanaishi maisha mazuri
uko sahihi..........na sisi ni wanaume tuu...
 
Back
Top Bottom