David Guetta
Member
- Jun 25, 2019
- 68
- 107
Hayo mambo yapo toka zamani. Wachapakazi walikuwepo na wavivu walikuwepo.
Watu tunafanya Trading. Sasa anataka tufanye huku tumebeba desktop kichwani
zeshchriss kwani mario wameanza leo?
Hii dunia ni ya kibepari. Kila mtu anafanya anachoweza. Sasa kama Nimepata Suger mom kanipenda na ana pesa nikatae?
Anyway, kazi watu wanafanya. Huko kujituma anakotaka mtoa mada sijui ni kupi. Hakuna mtu hajitumi sehemu ambako hakuna pesa
Haha .... ila dada yangu Kuna watu ame-walenga kweli ..Kuna hilo tatizo katika jamii yetu ..Kuna baadhi ya vijana wengi (sio wote ) Ambao wanapenda maisha ya mteremko ...hawataki kujishughulisha kabisa yaani vile inavyostahiki. ....... wame ridhika kwa kiasi kikubwa mno...
Waweza kukuta kijana anazaa/anazalisha wakati bado hajajiandaa vyema kubeba majukumu kisha watoto wake anakwenda kuwabwaga kwa bibi/babu zao ..... Tujitahidi kuupokea ukweli wa mtoa mada ijapo kuwa ni mchungu kiasi chake
Huwezi kukutana nao...maana wanadanga kwa wanawake ha ha haaa...na kwa baadhi yenu mnaowageuza mchicha mwibaHv hao wanaume wanaodanga mi mbona sikutani nao
Isije kuwa mnamuona kijana mmoja hapo mtaani kwenu basi unachukulia vijana kibao wako hivyo
Bado naamin wanaume tunapiga mzgo na tunatafuta hela haswa
Habari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...
Sasa hivi badala ya kufanya kazi wana kazi ya kuliwaza wajane.Habari wakuu,
Twende kwenye mada...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...
Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake wamekuwa wakijiingiza katika maisha ya ajabu kama kudanga kwa majimama ili wawezeshwe kimaisha.
Wengine wao wanajigeuza kuwa mashoga ili tu wajirahisishe wapate pesa kirahisi.
Yani sikuhizi vijana wa kiume wanafanya mambo ya aibu ili wapate pesa.
Wamesahau kuwa maandiko yanasema "mwanaume atakula kwa jasho".
Ni aibu maana mtoto wa kiume kushindwa kusaka pesa na kusubiri kuletewa na mwanammke.
Nawaza tu miaka ijayo tutakuwa na wanaume wa shoka kweli..
Ni hayo tu...
Karibuni...
Hili Dongo nadhani ni la mtu