mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
et wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya, we kama umekutana na huyo kichwa panzi ucdhani wote tuko hivyo wengine we have manners.Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Hadi kufikia hatua ya kumuita ulikuwa umeshakubari kuliwa .Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Wanaume bwana!
Mpige stop asije nyumbani kwako
Wanaume bwana!
Mpige stop asije nyumbani kwako
Yeye ameshakuvunjia heshima inabidi na wewe huivunje mpige stop asije,acha mawasiliano naye ya simu na pia akija usimfungulie mlango!Tulikuwa tunaheshimiana sana,yaani naogopa hata kumkejeli au kumtusi,yaani aibu inanishika,nawaza nitumie lugha gani aachane na mimi
Tulikuwa tunaheshimiana sana,yaani naogopa hata kumkejeli au kumtusi,yaani aibu inanishika,nawaza nitumie lugha gani aachane na mimi
Ndipo mnapofeli hapo wanawake, kwanini kama umtaki usimwambie2 'SIKUTAKI' kuliko kujiwazisha upumbavu au umataki yeye ila unataka pesa zake? Na pesa zake haziwezi Kuja kwako zikamuacha yeye lazima pesa ziambatane nayeyeNikimtolea lugha chafu sijui nitaonekana mi ndo mbaya
Ningekuwa mimi ndo wewe: the minute ameanza kunitongoza ndo mazoea yangeishia hapo.Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Ndiyo umefanyiwa hivi?
Ukiona hivyo haumanishi kimwili unachosema. Mwanamke akisema sikutaki huwezi kulazimishia.
Ebu tuliza akili na uandike iliyokweli,naona kama kuna ya mhimu unayoyaficha nyuma ya paziaMiaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Exactly nini???Exactly
Hana tena ujasiri wa kuweka ngumu,kashamkumbatia na makiss kibao na ahadi ya kuvurugwa,alafu aweke ngumu ataweza wapi?Cutelove, mpo 50 50 mpaka hapo! Huyo jamaa atakugegeda tu kama wadau walivyosema!! Lakini, narudia tena lakini, ukiamua kuweka ngumu yani ngumu kweli hatapata kitu. Ni wewe tu.
Mpe jamaa mzigo mambo ya kuchomeshana mahindi yashapitwa na wakati .Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba