rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,113
- 18,745
Ingawa wachache hawataamini. Wahongaji wazuri ni wale wenye hela ya kawaida tu. Wenye hela nyingi sio wahongaji.
true aiseee!
Ingawa wachache hawataamini. Wahongaji wazuri ni wale wenye hela ya kawaida tu. Wenye hela nyingi sio wahongaji.
Kimsingi sielewi unakuwaje mwanaume halafu hautaki kiumtunza mwanamke wako? Sasa si bora na wewe ungezaliwa mwanamke tu ili tukutunze kuliko kukaa na binti wa watu hata gauni tu kununua hautaki kisa eti utakuwa unahonga, vizuri vinagharama wazee. Usione vyaelea vimeundwa hata wahenga walisema.
Kumtunza mwanamke.na kumhonga ni vtu viwili tofaut
Mabinti wengi wataupenda mchango wako mpaka kumoyo....au ndio ujumbendoana mkuu..??Kimsingi sielewi unakuwaje mwanaume halafu hautaki kiumtunza mwanamke wako? Sasa si bora na wewe ungezaliwa mwanamke tu ili tukutunze kuliko kukaa na binti wa watu hata gauni tu kununua hautaki kisa eti utakuwa unahonga, vizuri vinagharama wazee. Usione vyaelea vimeundwa hata wahenga walisema.
Kimsingi sielewi unakuwaje mwanaume halafu hautaki kiumtunza mwanamke wako? Sasa si bora na wewe ungezaliwa mwanamke tu ili tukutunze kuliko kukaa na binti wa watu hata gauni tu kununua hautaki kisa eti utakuwa unahonga, vizuri vinagharama wazee. Usione vyaelea vimeundwa hata wahenga walisema.
Ingawa wachache hawataamini. Wahongaji wazuri ni wale wenye hela ya kawaida tu. Wenye hela nyingi sio wahongaji.
Ingawa wachache hawataamini. Wahongaji wazuri ni wale wenye hela ya kawaida tu. Wenye hela nyingi sio wahongaji.
si ndio hapo, yani ukimpa hela binti simply umeridhishwa na huduma yake eti unaitwa mhongaji. Kama kutoa shukrani au motisha ni kuhonga basi kila mwanaume ni mhongaji sema tunazidiana kiwango maana we unalala na binti wa watu hala fu eti unampa buku ishirini na umemgaragaza usiku mzima. Hata hivyo hatuhongi siku hizi ni unatoa tuuuuuuuu!!!!
Kwakweli!! Watu wanasema ukipenda kukitumia bas ujue na kukihudumia.. Sasa nashangaa wanaume wanaoshindwa kuhudumia w'wke zao!!