Wanaume wanaocheza mziki

Sina wife baby,ningekuwa nae usingeniona humu,natamani nami nipate wife hivi karibuni,ndio maana unaniona najaribu bahati humu,ingawa wengi wanafikiri kupata mrembo wa maisha humu haimwezekani,hapana sio kweli coz humu kuna wanawake wengi waliopitia maisha na wanajua maisha ni nini?pia wako huru kama mimi nitajiongeza na kuwaheshimu,basi tunaweza kuwa mwili mmoja mpaka kifo kitutenganishe baby au vipi?
haya kila la heri katika kutafuta
 
umejickia kusifia wana hiphop???.... au bwana wako hakupi fresh ktandan nao kila sehem unasema mauno wapeleke kitandani
 
Kila mziki unastail yake ya uchezaji. Huwezi lazimisha mwanamziki wa sebene kucheza kama mwanamziki wa hiphop acha ushamba.
 
Hivi ni kwanini wanaume wanakatika sana wakiwa wanacheza mziki wanamaanisha nini? Yaani sipendi kabisa kuona mwanaume akikata mauno hata hawa wasanii wetu wanaudhi na kukera aisee.

Hamumuoni Darasa anavaa vyema, havai hereni, anavyocheza sasa kigentlemen mpaka unapenda tu kumuangalia, hivi na kina Chriss Brown wanakatika hivi kweli sijawahi ona hayo mauno mnayokatika hadharani hebu yapelekeni kitandani kwa wake zenu au wapenzi wenu.

Napenda sana mwanaume mgumu akicheza mziki acheze kiuanamme mfano Fid Q hua hakatiki na yuko poa tu. Sasa ukienda club sehemu za starehe wanaume wanakatika unakuta limtu linakatika linataka licheze nawe aisee hua sitaki kabisaa, mwanaume unakatika ya niniii?

Jifunzeni basi kupitia hawa kina Darasa, Joh Makin, Niki wa pili na vijana wengine wanaocheza vyema tu, hayo mauno katikeni kwenye viuno vyetu kama mnajua kukatika kweli bana.

Yaani wanaume wanaokatika wakiwa wanacheza mziki wanakeraa aisee na vinguo vyenu vya kubana.

Tusameheane tu ila ukweli usemwee
Unataka akatike wapi ndo upende
 
Story inatusaidia nini km kiuno kinachokatwa si chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom