Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,323
- 17,823
Darassa wakati wake huu hata akijamba anawavutia wadada, akipenda mwenyewe atawashughulikia sana. Sasa nae anazidi kulegeza mikono na kulaza shingo pembeni kama mlaini fulani.Ila darasa anacheza vizur bwana, ile mikono anavoichezesha unataman uendelee kumtazama tu.