Wanaume wanaocheza mziki

Masharobaro hao ndo kaz yao wakiongozawa na baba yo domo na tim yale wcb kwakukata viuno hawajambo na heren zao
 
Dina
We kama hupendi fresh....Ila wenzako wanapenda.....

Haya maisha kila mtu anapenda chake....
 
Hivi ni kwanini wanaume wanakatika sana wakiwa wanacheza mziki wanamaanidha nini,,,,yaan sipendi kabisa kuona mwanaume akikata mauno ,hata hawa wasanii wetu wanaudhi na kukera aisee ,,hamumuoni Darasa anavaa vyema ,havai hereni,anavyocheza sasa kigentlemen mpaka unapenda tu kumuangalia ,,hivi na kina chriss brolwn wanakatika hivi kweli sijawahi ona,,,hayo mauno mnayokatika hadharani hebu yapelekeni kitandani kwa wake zenu au wapenzi wenu
Napenda sana mwanaume mgumu ,akicheza mziki acheze kiuanamme ,mfano fd q hua hakatiki na yuko poa tu
Sasa ukienda club sehemu za starehe wanaume wanakatika unakuta limtu linakatika linataka licheze nawe aisee hua sitaki kabisaa,mwanaume unakatika ya niniii?
Jifunzeni basiii kupitia hawa kina darasa,joh makin,niki wapili na vijana wengine wanaocheza vyema tu,hayo mauno katikeni kwenye viuno vyetu kama mnajua kukatika kweli bana
Yaan wanaume wanaokatika wakiwa wanacheza mziki wanakeraa aisee na vinguo vyenu vya kubana,
Tusameheane tu ila ukweli usemwee
Ndo maana nakupenda sana Dina,naomba ulete mrejesho khs yale niliokupa pale Peacock hotel au vip? usione haya baby au vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom