Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

Umeota vindevu?..wanaume wengi wanaogopa wadada wenye ndevu!!
 

unatakiwa kujirekebisha...kujiamini hatukatai ila kusizidi, niliwahi kuwa na binti mmoja kama marafiki ila nilishaonesha interest..sasa akaanza kunipanda kichwani mara anifokee na commands zisizo na msingi..nilikuwa disappointed sana na nikawa najiuliza hapa tu ni nje ya ndoa, nikimuoa je itakuwaje?
 
Ngoja nimshauri...usipende kubadili ulivyo hiyo inaweza kuleta shida..kuna wakati unaweza kujikuta umemzoea mpenzi na kurudi kwenye uhalisia wako hii itakucost bibie...cha msingi badilisha vile vilivyozidi kipimo ambavyo haviwezi kuleta madhara...na utapata mwanaume wa sampuli yako!
Badala umshauri mwenzio unawaza mambo yako
 

umeongea vizuri zaidi mana kupretend ni kubaya zaid
 
He he he, nakufananisha vile. Kama ni wewe ni ngumu sana, ni mother tongue tu. Imagine Rhobi aongee, afu hapo pembeni aongee Mwanayumba? Tofauti.

Wakati mwingine control ya lugha, lugha usiyoijua sana unaonekana unaongea kwa ukali, sababu unajaribu kusisitiza ili watu wakuelewe.

Volume majanger majanger, punguza volume, afu kama una-urgue, mpe mtu muda wa kumsikiliza, hata kama anaongea pumba kiasi gani. Akimaliza, then na wewe uongee, ila kumpiku wakati wa kuongea inaonesha ukali.
 
Naomba namba yako ya simu
 
sorry to say this but this bolded piece of words irritates me and I don't think they are that good why do you need to say that?.
^^
Dont be irritated!!!!!!!! Mleta mada amesisitiza kusaidiwa na wanasaikolojia, nami nimechangia mwanzoni badae nikakumbuka mi sio mwanasaikolojia, so I had to put my comment katika safe side (sorry for code mixing)
^^
 
Unayosema miss chagga ni kweli kabisa. Hizi tabia zetu za, I can pay, I can argue, I can challenge him bila kuangalia uko wampi na mtuo zinawatisha hawa viumbe wa jinsia tofauti na yetu. Sometimes ni kuwaacha wajione wanaume wanaoweza kutumiliki na ku-take care of us.

Kudeka muhimu sana: we hata panya na mende unataka uwaue wewe wkt kidume mwenye nguvu yupo, ukipigiwa simu hata sauti ulainishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…