wanaume wananafasi kubwa sana kwa wanawake

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
566
Ni jambo lisilopingika kabisa kwamba, bila mwanaume maisha ya mwanamke kisaikolojia yanakua hayaja kamilika. Utafiti wangu mdogo umetiliwa chachu na yaliyotokea hivi punde mbele yangu. Meza kama tatu mbele yangu kakaa binti mrembo kabisa. Kaagiza vinywaji vyake lakini kwa muda wote huo haonekani kujiamini wala kufurahia mahali hapa. Muda mwingi anatumia kuangalia watu wengine. Kwa muonekano wake ni mtu anayejiweza hivyp bili za hivyo alivyoagiza havitampa tabu kulipa. Lakini hana furaha amekosa kujiamini. Lakini ghafla namuona kuchangamka na tabasamu, hii ni baada ya anayeonekana mpenziwe kuingia na kuketi nae. Sasa naamini kwamba mwanaume ni hitimisho la furaha na usalama wa mwanamke.
 
Jamani kwani mwanamke si ametoka ubavuni mwa mwamme? au hilo hulijui? Hio kitu ni kwa wote. Hata wanaume ni vivyo vivyo kama wanawake. Sema tuu sisi wanawake tuna hisia kali na ni waoga. Wasiwasi wa huyo binti ni kuogopa bigudha na kuhofia asionekane changudoa fulani. Upo hapo the Zekidon!!
 
Siku hizi ribs zinataka kuwa head hapo ndio tatizo linapoanzia ila naturally, women complete us
 
hizi teknolojia za sir God ni hatari kwakweli, yaan mtu kutokea kwenye mbavu za mwingne!!!!????
 
Ni jambo lisilopingika kabisa kwamba, bila mwanaume maisha ya mwanamke kisaikolojia yanakua hayaja kamilika. Utafiti wangu mdogo umetiliwa chachu na yaliyotokea hivi punde mbele yangu. Meza kama tatu mbele yangu kakaa binti mrembo kabisa. Kaagiza vinywaji vyake lakini kwa muda wote huo haonekani kujiamini wala kufurahia mahali hapa. Muda mwingi anatumia kuangalia watu wengine. Kwa muonekano wake ni mtu anayejiweza hivyp bili za hivyo alivyoagiza havitampa tabu kulipa. Lakini hana furaha amekosa kujiamini. Lakini ghafla namuona kuchangamka na tabasamu, hii ni baada ya anayeonekana mpenziwe kuingia na kuketi nae. Sasa naamini kwamba mwanaume ni hitimisho la furaha na usalama wa mwanamke.
Yani kumbe muda wote ulikua unatuchunguza lol!
 
Back
Top Bottom