Wanaume wanahangaika sana

Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Ahahhhahh nimejikuta nacheka tu!!!

Eeh embu tuambie ulijuaje kama kakubrok?!!!

Haki, utoto ni raha sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu apa
 
We umemuacha mwanaume au umewaacha wanaume.. usi tu include wengine kwenye huu upuuzi

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Kinachokuumiza hata sio ubaya wake bali ni wivu,ukiamini huyo new girl hakustahili kuwa na jamaa yako either kwa sabab anapata vitu ambavyo yawezekana ww ulivikosa au hukuvipata...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa itakuwa anafaidi sana maana madem ambao wapo simple simple wanakuwaga watamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Non of the above. Halafu siko single nimeamua tu watu wasijuwe. Tumekuwa kwa relationship for 3 yrs halafu hata miezi haijaisha nionekane na mtu mwingine haha hell no watu watani badilisha jina bure halafu siko tayari kuitwa hayo majina ndio maana nimekaa kimya
 
ulio wimbo wa taka taka wa kenya uliopigwa marufuku unakuhusu kabisa
 
Mkuu....
Kwa hii comments ndio haswaaaa umedhihirisha na kuyaonyesha maumivu yako kwa uwazi kabisa.
Tena naona umetuongezea na lingine la kupotezewa muda kwa muda wa miaka mitatu na mwisho sasa unaona aibu kuwa na mtu mwingine kwasababu eti utaitwa malaya, na mbaya zaidi unaonekana kama sasa unaishi kwa kuhofia eti watu wana/watasema nini
 
Mkuu.... kama tayari umesha achana na mtu, kwani unapata nini ama unamthaminisha ili iweje...!!?? Then baada ya hapo ili nini kiwe...!!??
Kimsingi ukimuona yeyote mwenye bado anamfuatilia ex wake, basi ujue huyo mtu bado anamaumivu
Mmmmh mm na bisha unaweza ukawa haumii ila tu unataka umthaminishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…