Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Hii story nzur sana Dada, nnavyoona kiukweli story zetu hiz tukiztengenezea movie kwa kweli znakuwa movie za mapesa mengi sana story yako inavutia ngoja tusubir tuone itaishia wapi
 
Mimi nasubiria list yangu pendwa kutoka JF![emoji53][emoji53][emoji53]
 
sio kwamba sipendi kuolewa jamani au sio kwamba sijawai kupata wa kunioa , ila yaani waoaji wangu sijui nisemeje .ngoja niseme kwa ufupi muamue wenyewe

muoaji namba moja
huyu jamaa kweli kabisa alitaka kuniweka ndani hata sasa hivi nikitaka ila story yake ipo hivi
huyu jamaa ni rafiki yake na boss wangu . wanafanya biashara zingine pamoja.wanajuana miaka na miaka .alinijulia ofsini pia boss wangu akawa anamwambia bwana miss yupo fresh muoe huyu .jamaa alishaoa sema mke akaondoka na alishaolewa na jamaa mwingine ana mtoto mmoja . na ni muhenga tu fresh ambazo ndo flavour zangu..jamaa akanitongoza kweli nikakubali .tukaanza mahusiano.kusema kweli sijawai kumpenda hata sema nikawa nalazimisha tu niolewe yaishe. maana ana nyumba ana gari yupo fresh .nilipanga nitampendea mbele ya safari
siku moja akanialika home kwake nikalale huko .sikuwai kufika kwake , usiku mmoja huo nikaenda kwake ilikuwa ijumaa nikashuka kituoni akaja na gari tukaingia mtaani hadi kwake ni jirani na huyo boss wangu japo yeye haishi hapo anakaa nje ya nchi anakujaga tu mara chache.ndo maana nilienda usiku.
nyumba ilikuwa nzuri saaana kwa nje nikasema mama mwenye nyumba mimi Mungu anipe nini tena jomonii?
haya nikashuka kwenye gari mlango ukafunguliwa nikaingia ndani .mama weeeeeeeeeeeee
Yaani palikuwa pachaaaafu pachafu .yaani jamani mimi sio msafi wala msidhanishie nina dharau ,am the coolest person ever! Yaani sofa ni chaafu zimechooka yaani hata panya haishi mle.nikatoa khanga yangu kwenye pochi nikatandika nikakaa huku full chafya *****.

Mdogo wake wa kiume alikuwa anaandaa msosi nikamwambia nikusaidie akasema poa yaani jikoni nilivofika na navopenda msosi apetite ilikata toka siku ile mpaka kesho jomoni . in short that house was hell men

Chumbani sasa.
Chumbani sasa. Yaani nguo zote zimetundikwa kwenye kitanda yaani masuruali mengine yamefuliwa mabichi ,maana kilikuwa kipindi cha mvua, yaani hakuna hewa kusema kweli. Nikamwambia bwana hee twende tukalale kwangu hapa mbu hivi pia nina pumu nitakufa humu . japo sina pumu nilidanganya.

Tukaondoka usiku huo hadi kwangu saa saba hiyo
Hapo nimeshikwashikwa hadi basi nimekereka wee
basi jomoni tulivofika kwangu nikamwambia bwana mimi siwezi kumlaza mwanaume nyumbani kwangu kwetu mila haziruhusu kabisa yaani tukabishana wee akakubali akasepa . nikamuahidi ningeenda kwake asubuhi pia muda huo mbu watakuwa hawapo akakubali so nikawa nimenusurika siku hyo kuliwa papuchi japo mdomo na mtindi uliipata fresh

basi tukaendelea hivo hivo na maisha akanialika tena kwake maana mimi huwa sikubali kugegedwa lodge .ilikuwa siku ya jpili so nikaplan kwenda asubuhi ili nikashinde huko nipike pike etc
nikaondoka home saa moja kamili na bajaji aisee elf 15 ilinitoka maana ni mbali .nyumba nikaikuta chafu vile vile kama nilivoiacha yaani acheni tu vile mnaandika hapa kwa vile hamjaona mnaniponda.ila nifupishe tu story kumbe yule bwana hatakiwi kufanya usafi home kwake .ni mshirikina nitakuja kufafanua baadae

mchumba namba mbili
huyu jamaa alinipenda saaana toka namaliza chuo . nilikuwa namringia maana aliishia la saba . nikamuacha nikadate watu wengine nikateswa huko weee nakuja kumrudia kwenda kupimana HIV .kumbe alishapata .ameoa mwaka jana mdada mzuri hatare halafu ananirushia vijembe sana yule dada maskini hajui mwenzake nilimuachia msala pale .huyo dada ni rafiki yangu sana . sijawai mwambia mtu yoyote kwamba jamaa ni muathirika ni siri yangu na yeye na dokta alietupima .ananiheshimu sana jamaa maana namtunzia siri yake .ila mkewe anaona kanikomoa eti niliachwa nyooo aaachwe nani .ngoja aanze kuisoma namba

naombeni muwe watulivu jamani acheni matusi kunihukumu ni mwishoni
itaendelea jioni leo saa kumi na nusu
muendelezohttps://www.jamiiforums.com/threads/wanaume-niliowakataa-mchumba-namba-tatu-muendelezo.1377496/
Usipokuwa na ajenda inayokuongoza kwenye mahusiano utaishia kutoa kasoro na kulambwa. niesikia ukisema hujawahi kumpenda huyo Bwana wa kwanza, nataka nikuhakikishie kuwa hata yeye hajawahi kukupenda, ila nina uhakika alikuwa anakutamani. Mtu anaweza kumpenda mtoto wake au mama yake au baba yake au ndugu yake wa damu tofauti na hapo ni tamthiliya tu
 
Ukimalizia wote naomba unitag Sweetheart..I know maybe am too late but I don't care ,I just preparing myself to be your Last Man !!!.
799dba468ef5068a29e50ddedd1c6946.jpg
i kinda like you my Bumper Butt
Yule mwingine mliekua mnasifiana humu kwamba nyinyi ndo nyinyi love birds .. mmeashaachana
 
wewe unatafuta excuse baada ya kuona ndoa zimekaza awamu hii, kama alikua mchafu wewe ulikua na nafasi ya kumbadilisha tena ndani ya wiki tu.
Ni kweli mkuu...mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mwanaume anapoona jambo fulan halipo sawa na sio kucomplain na hapa ni kwa baadhi mfano hilo la usafi, kuna mavazi, personal hygiene, kupangilia vitu ndan ya nyumba, kununua vitu muhimu ndani,,unakuta wanaume sisi tunakula mara nyingi kwenye migahawa na unakuta hata jiko hujanunua hapo mwanamke unaweza leta a slight change, so hivyo na vingine vinavyoendana na hayo.
Ila sasa huyo anasema mshirikina sasa sijui alimwambia sababu ya kua mchafu ni masharti ..ngoja tungojee atuambie
 
sio kwamba sipendi kuolewa jamani au sio kwamba sijawai kupata wa kunioa , ila yaani waoaji wangu sijui nisemeje .ngoja niseme kwa ufupi muamue wenyewe

muoaji namba moja
huyu jamaa kweli kabisa alitaka kuniweka ndani hata sasa hivi nikitaka ila story yake ipo hivi
huyu jamaa ni rafiki yake na boss wangu . wanafanya biashara zingine pamoja.wanajuana miaka na miaka .alinijulia ofsini pia boss wangu akawa anamwambia bwana miss yupo fresh muoe huyu .jamaa alishaoa sema mke akaondoka na alishaolewa na jamaa mwingine ana mtoto mmoja . na ni muhenga tu fresh ambazo ndo flavour zangu..jamaa akanitongoza kweli nikakubali .tukaanza mahusiano.kusema kweli sijawai kumpenda hata sema nikawa nalazimisha tu niolewe yaishe. maana ana nyumba ana gari yupo fresh .nilipanga nitampendea mbele ya safari
siku moja akanialika home kwake nikalale huko .sikuwai kufika kwake , usiku mmoja huo nikaenda kwake ilikuwa ijumaa nikashuka kituoni akaja na gari tukaingia mtaani hadi kwake ni jirani na huyo boss wangu japo yeye haishi hapo anakaa nje ya nchi anakujaga tu mara chache.ndo maana nilienda usiku.
nyumba ilikuwa nzuri saaana kwa nje nikasema mama mwenye nyumba mimi Mungu anipe nini tena jomonii?
haya nikashuka kwenye gari mlango ukafunguliwa nikaingia ndani .mama weeeeeeeeeeeee
Yaani palikuwa pachaaaafu pachafu .yaani jamani mimi sio msafi wala msidhanishie nina dharau ,am the coolest person ever! Yaani sofa ni chaafu zimechooka yaani hata panya haishi mle.nikatoa khanga yangu kwenye pochi nikatandika nikakaa huku full chafya *****.

Mdogo wake wa kiume alikuwa anaandaa msosi nikamwambia nikusaidie akasema poa yaani jikoni nilivofika na navopenda msosi apetite ilikata toka siku ile mpaka kesho jomoni . in short that house was hell men

Chumbani sasa.
Chumbani sasa. Yaani nguo zote zimetundikwa kwenye kitanda yaani masuruali mengine yamefuliwa mabichi ,maana kilikuwa kipindi cha mvua, yaani hakuna hewa kusema kweli. Nikamwambia bwana hee twende tukalale kwangu hapa mbu hivi pia nina pumu nitakufa humu . japo sina pumu nilidanganya.

Tukaondoka usiku huo hadi kwangu saa saba hiyo
Hapo nimeshikwashikwa hadi basi nimekereka wee
basi jomoni tulivofika kwangu nikamwambia bwana mimi siwezi kumlaza mwanaume nyumbani kwangu kwetu mila haziruhusu kabisa yaani tukabishana wee akakubali akasepa . nikamuahidi ningeenda kwake asubuhi pia muda huo mbu watakuwa hawapo akakubali so nikawa nimenusurika siku hyo kuliwa papuchi japo mdomo na mtindi uliipata fresh

basi tukaendelea hivo hivo na maisha akanialika tena kwake maana mimi huwa sikubali kugegedwa lodge .ilikuwa siku ya jpili so nikaplan kwenda asubuhi ili nikashinde huko nipike pike etc
nikaondoka home saa moja kamili na bajaji aisee elf 15 ilinitoka maana ni mbali .nyumba nikaikuta chafu vile vile kama nilivoiacha yaani acheni tu vile mnaandika hapa kwa vile hamjaona mnaniponda.ila nifupishe tu story kumbe yule bwana hatakiwi kufanya usafi home kwake .ni mshirikina nitakuja kufafanua baadae

mchumba namba mbili
huyu jamaa alinipenda saaana toka namaliza chuo . nilikuwa namringia maana aliishia la saba . nikamuacha nikadate watu wengine nikateswa huko weee nakuja kumrudia kwenda kupimana HIV .kumbe alishapata .ameoa mwaka jana mdada mzuri hatare halafu ananirushia vijembe sana yule dada maskini hajui mwenzake nilimuachia msala pale .huyo dada ni rafiki yangu sana . sijawai mwambia mtu yoyote kwamba jamaa ni muathirika ni siri yangu na yeye na dokta alietupima .ananiheshimu sana jamaa maana namtunzia siri yake .ila mkewe anaona kanikomoa eti niliachwa nyooo aaachwe nani .ngoja aanze kuisoma namba

naombeni muwe watulivu jamani acheni matusi kunihukumu ni mwishoni
itaendelea jioni leo saa kumi na nusu
muendelezohttps://www.jamiiforums.com/threads/wanaume-niliowakataa-mchumba-namba-tatu-muendelezo.1377496/
Utakuwa under 18 utoto unakusumbuaaukifika 30's mnaanza kutusumbua
 
Yule mwingine mliekua mnasifiana humu kwamba nyinyi ndo nyinyi love birds .. mmeashaachana
Nani kasema ??? Kama kugombana tu hatujawahi gombana ,iyo kuachana ianzie wapi ????
7238e8bfcc858ee6dfa33fcab96d4a3c.jpg
ndo kwanza tunakata mawingu tuu ,, sasa mibebishano tumeamua kuifanya kwa matendo zaidi !!.

Mima white cute Wangu njoooo huku Sweetheart!!.
 
Back
Top Bottom