Wanaume waliooa au wenye wahusiano imara tu.

Unpitia wakati mgumu sana, Mimi mwenyewe ilinikuta kipindi fulani. Kuna mwaka mmoja nilienda mkoa wa mbali, nyumbani akabaki mke na watoto. Ikawa siku, wiki, mwezi na miezi kama sita hivi na program ni ya miaka kadhaa. Mawasiliano na wife yalikuwepo na nyegezi zilinisumbua sana, na kutokana na ubize wake na kutingwa na majukumu nikanza kupata mawazo hasi. Namjua mke wangu vizuri asingenisaliti lakini Mimi nikaingia majaribuni na kuangukia mikononi mwa binti mmoja, ndio aliyebeba majukumu ya mke wangu kwa nyakati za shida.

Nikushauri tu, tafuta mwanamke wa kuwa nae kama options za kwenda home au kupiga nyeto zimeshindwa. Nyegezi hazina mbadala, watakuambia fanya mazoezi, keep busy all the time e.t.c but the problem is for how long.

Vile vile sex phone ni punyeto iliyoboreshwa.

Kama hukai sana, jikaze ila kama ni muda mrefu tafuta tu na ndio mbinu pekee ya kulinda ndoa yako. Tafuta mmoja pimeni na uendelee nae huyo tu. Usinunue makahaba kwa kuhofia ghalama za matunzo na vibom.

Kwa upande wa mkeo atajisumbukia mwenyewe maana wenzetu hawa nyegezi ziko mbali sana.

Barafu la moto
 
Kama wewe ni mcha Mungu, Maombi yatakusaidia mkuu. Ninajua majaribu ni mengi ya wanawake unapokuwa mwenyewe lakini kwa msaada wa Mungu utayashinda. Nimewahi kuishi mbali na mke wangu lakini sikuwahi kumsaliti. Yote hayo sijisifu bali Mungu alinisaidia.
 
Kwa vile yeye kaishapata mchepuko wa kumshughulikia kisawasawa ndo maani hapati genye kiivyo.....na wewe tafuta mchepuko ngoma iwe draw with olds of 8.8 kwa wale wanaobeti kuwa wote mtapata ngwengwe.
 
Yan jamaa unipiga nyeto afu unajidai upo kwenye ndoa? [emoji2][emoji2]! Sasa unaangalia makalio ya mademu nje ya ndoa afu jioni unamt0mda mkeo kwa kuvuta hisia za makalio ya wanawake wa nje, huko si unapoga nyeto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi mkutane at least mara 2 kwa mwezi. Sijaoa lakini i am speaking from my experience, trust me inasaidia. Hakuna kinachozuia kutokutana hata kama mmoja anaishi mwanza mwingine anaishi mtwara. Mkiamua inawezekana.
Ndugu zangu naombeni ushauri, Tangu nimeoa sijawahi ishi mbali na mama watoto wangu na mda wote huo tumeishi wote sijawahi kumsaliti au kupata tamaa na mwanamke mwingine zaidi tu ya kuwakodolea macho wanawake wenye makalio makubwa na mishepu yao nakula kwa macho, badae jioni naenda kuvutia hisia kwa mke wangu.

Sasa tatizo hapa linakuja baada ya mimi kupelekwa mbali sana naye na hadi sasa ni miezi 2 sijawahi kumwona na kumwona ni hadi mwaka uishe kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Mbaya zaidi na yeye hawez kunifuata huku sababu ya kazi yako, Biashara zangu na familia.

Nikiongea naye usiku huwa namtamani sana hadi najikuta mchana mzima nawaza hicho kitendo kitu kinachonipelekea mwili wote unakuwa na uchovu fulani hivi usioelezeka na akili yangu imekuwa nzito balaa na mbaya zaidi nimekuwa mtu wa hasira sana. Kweli ndo naelewe kwamba nyege ni mbaya sana kuliko njaa.

Nahisi ukomo wangu wa kufikiri umeishia hapo, Tafadhari tushirikishane nyie wanaume mnaosafiri mbali na wake zenu wenda ndani au nje ya Nchi mnafanya vipi? Tofauti na kutoka nje ya ndoa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maisha ni magumu sana,wengi wa wanandoa wamejikuta wakiwa na watoto wa nje ya ndoa au wake zao kutembea na watu wengine au hata ndoa kuvunjika kwa kutokea mwanandoa mmoja kunogewa na kuacha mume/mke.Ushauri wangu ni kuwa kama kuna uwezekano mvute aje huko,au wewe upange ratiba ya kwenda kwake.Mimi nachoona hapo kikubwa ni kumshirikisha Mungu katika hilo ili awaepushe na vishawishi...
 
Unpitia wakati mgumu sana, Mimi mwenyewe ilinikuta kipindi fulani. Kuna mwaka mmoja nilienda mkoa wa mbali, nyumbani akabaki mke na watoto. Ikawa siku, wiki, mwezi na miezi kama sita hivi na program ni ya miaka kadhaa. Mawasiliano na wife yalikuwepo na nyegezi zilinisumbua sana, na kutokana na ubize wake na kutingwa na majukumu nikanza kupata mawazo hasi. Namjua mke wangu vizuri asingenisaliti lakini Mimi nikaingia majaribuni na kuangukia mikononi mwa binti mmoja, ndio aliyebeba majukumu ya mke wangu kwa nyakati za shida.

Nikushauri tu, tafuta mwanamke wa kuwa nae kama options za kwenda home au kupiga nyeto zimeshindwa. Nyegezi hazina mbadala, watakuambia fanya mazoezi, keep busy all the time e.t.c but the problem is for how long.

Vile vile sex phone ni punyeto iliyoboreshwa.

Kama hukai sana, jikaze ila kama ni muda mrefu tafuta tu na ndio mbinu pekee ya kulinda ndoa yako. Tafuta mmoja pimeni na uendelee nae huyo tu. Usinunue makahaba kwa kuhofia ghalama za matunzo na vibom.

Kwa upande wa mkeo atajisumbukia mwenyewe maana wenzetu hawa nyegezi ziko mbali sana.

Barafu la moto
Mkuu asante sana nimetoka ni kitu kidogo hapa. Majukumu yalitinga kidogo kikapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mcha Mungu, Maombi yatakusaidia mkuu. Ninajua majaribu ni mengi ya wanawake unapokuwa mwenyewe lakini kwa msaada wa Mungu utayashinda. Nimewahi kuishi mbali na mke wangu lakini sikuwahi kumsaliti. Yote hayo sijisifu bali Mungu alinisaidia.
Mkuu maombi ndo yamenifikisha hapa nilipo ila kiukweli nahisi still nahitaji msaada zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika sababu namwamini sana. Ila shida inakuja kwangu na yeye siwez kumwomba msaada sababu nitampa wasi wasi sana
Kwa vile yeye kaishapata mchepuko wa kumshughulikia kisawasawa ndo maani hapati genye kiivyo.....na wewe tafuta mchepuko ngoma iwe draw with olds of 8.8 kwa wale wanaobeti kuwa wote mtapata ngwengwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan jamaa unipiga nyeto afu unajidai upo kwenye ndoa? [emoji2][emoji2]! Sasa unaangalia makalio ya mademu nje ya ndoa afu jioni unamt0mda mkeo kwa kuvuta hisia za makalio ya wanawake wa nje, huko si unapoga nyeto?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mwanaume uliekamilika huwezi acha kutazama ila kujizuia ni bora zaidi. Niliwahi kwambiwa kwamba ukiona mwanamke mwingine ana jambo furani ambalo mkeo hana basi jenga fikra kwako kwamba naye yupo hivi mnapokuwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbali mkuu! Nauli GO And Return ni zaid ya 2M. Na kuna vitu anasimamia
Jitahidi mkutane at least mara 2 kwa mwezi. Sijaoa lakini i am speaking from my experience, trust me inasaidia. Hakuna kinachozuia kutokutana hata kama mmoja anaishi mwanza mwingine anaishi mtwara. Mkiamua inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Back
Top Bottom