Wanaume walioko kwenye ndoa wana raha sana

Wanaume walioko kwenye ndoa wana raha sana

Haa haa haa wanaume tunakula kwa jasho ndo maana hata maamuz n yetu
 
Pete ya Ndoa ya mume wangu iko kwenye safebox miaka 16 sasa aliivaa kwenye sherehe tuu baada ya hapo inahama kutoka side A kwenda side B ya safebox,kama kuna kitu nimeshindwa kumlazimisha nikuvaa pete..
Hyo andika atavaa sku yesu akirud
 
Olewa sie tuvae nguo zetu tumenunua kwenye sale. Wewe ukianza shule ulikuwa unajua kuandika?Olewa kwanza mdogo wangu, halafu tutakupa mbinu za kufurahia ndoa. Yaani umenichekesha kweli hahaha.
Kwakweli itabidi nije kupata maujanja toka kwenu wakongwe.
 
Wakati mwingine ni ubinafsi wa mwanaume

Wakati mwingine ni mwanamke anaona heri nikae niangalie watoto kuliko kitoka

Wakati mwingine baadhi ya wanaume wana ghuuuuuuubu kwa wake zao...kuepusha shari mke anaamua amuache atoke mwenyewe

Wakati mwingine ni umalaya wa wanaume.....wanataka wapate vyombo vipya


Wakati mwingine hutokea tu
 
Pete ya Ndoa ya mume wangu iko kwenye safebox miaka 16 sasa aliivaa kwenye sherehe tuu baada ya hapo inahama kutoka side A kwenda side B ya safebox,kama kuna kitu nimeshindwa kumlazimisha nikuvaa pete..
Jaribu nawe kuivua na kuiweka kabatini kisha msikilizie atasema? Au km haivai lkn still upendo, aman, furaha ipo na hujawah ona cheating zozote its fine
 
Sasa kama wana wake wasiopenda outings kama akina sie!! Utamfungia ndani? Acha akaenjoy km ndio furaha yake.
 
Sikutaka kumshikilia sanaaaa as sikuona umuhimu wake avae asivae he is still my Hubby,ila ningefurahi angevaa...
Kuna watu pete za ndoa sijui zinawafanya nini, kuna dada pete za urembo atavaa hata4 ila ya ndoa havai hata kwa bahati mbaya.
 
Hongera mkuu, hii ndio maana kamili ya ndoa!

Asante sisame.Ndoa zote zina mapungufu yake.Muhimu MARUFUKU kuishi Na ndugu wa upande wowote:Maana ndugu wa upande Wangu wanakuwa Na wivu Na mke wangu wa upande wa mke wanaona kila kitu NI chao.
Ukisema utaambiwa unawasimanga NI shida tupu.Mkiishi wawili pamoja Na watoto hakuna sintonfahamu.Tukitaka kwenda kwenye sherehe tunawapeleka Kwa bibi yao maana hatuna mtu wa kazi NI sisi tu.
 
Sio kwamba wana raha mda wote..!
Nyie mlioko nje ya ndoa ndio mnaoona wanaraha
muda wote..

Utamu ya ngoma ingia uicheze..

Mwanaume anaetaka afanye Jambo lolote bila kuulizwa, huyo hatambui namna ya kutumia heshima ya mume kama kichwa cha familia..
Majukumu yake katika familia ni Kuiongoza akiwa mstari wa mbele ili sio kuiamuru..!
 
Hata wewe huu ni mtazamo wako si lazima ukubaliane naye, mimi nakubaliana naye sana tu.
Tatizo kubwa la mama zetu ni kukubali kuambiwa ukweli, hasa hawa akina angelita bado wanajenga nyumba angani maana ndiyo wanajiandaa kuingia katika ndoa. Mfano unapoona mwanamke kavaa mavazi ya ajabu usidhani mumewe haoni, anaona ila ukimweleza anadaki huo ni wivu, huoni nimependeza n.k. Unamwambia acha kula kula mtumbo unafura, aha mziki utakaotoka hapo mwenyezi mungu anajua. Ila yeye lazima akuchagulie nguo ya kuvaa. Na wakati mwingine akiona ex-wake kavaa nguo nzuri lazima akununulie ili ukiivaa anapata uhanga. Usipoivaa hapakaliki
 
Olewa sie tuvae nguo zetu tumenunua kwenye sale. Wewe ukianza shule ulikuwa unajua kuandika?Olewa kwanza mdogo wangu, halafu tutakupa mbinu za kufurahia ndoa. Yaani umenichekesha kweli hahaha.
Wewe ni nimekukubali, huo ndio ushauri nasaha! Maisha hayana formular kila mtu hutumia mbinu zake ili afanikiwe. Aolewe na lengo moja la kudumu katika ndoa.
 
Back
Top Bottom