Hata wewe huu ni mtazamo wako si lazima ukubaliane naye, mimi nakubaliana naye sana tu.Sikubaliani na wewe hata kidogo, ila ni mtazamo wako.
Nashindwa kumuelewa Mwanamme ambae hapendi kuongozana na Mkewe.
Sasa kama hajiamini na Mkewe, labda tuseme machoni mwa watu.
Sasa alimuolea nini?
Raha ya Ndoa ni pamoja na kuwa karibu na Mkeo mara kwa mara, na Watoto wenu.
Inapendeza sana na inajenga Upendo.
Onesha upendo kwa Mkeo
Hongera mkuu, hii ndio maana kamili ya ndoa!HARUFU
Waambie walalamishi RAHA za ndoa.
Mke sio jiko wala sio mtoto wa kazi.Mke NI muungano wa wapendanao.Uzuri wake NI kukaa mbali Na familia zenu maana familia zina leta maneno mwisho FITNA inaingia kati yenu.
Nimeoa muda mrefu nampenda Mke Wangu sanaaaaa tu. Tunakwenda karibu kila sehemu pamoja ila kuna wakati anataka kuwa Na rafiki zake wa kike Na mimi nakwenda kijiweni.
Simu zetu hazina ufunguo(password) tunaishi Kwa Amani Na saa zote kapendeza
wanawake wengine visirani, wakitoka na waume zao lazima mtarudi mmenuniana, ndo maana wanatoswa nyumbani.Nashindwa kumuelewa Mwanamme ambae hapendi kuongozana na Mkewe.
Sasa kama hajiamini na Mkewe, labda tuseme machoni mwa watu.
Sasa alimuolea nini?
Raha ya Ndoa ni pamoja na kuwa karibu na Mkeo mara kwa mara, na Watoto wenu.
Inapendeza sana na inajenga Upendo.
Onesha upendo kwa Mkeo
Kila kitu kina faida na hasara zakeJioni ya Leo nikapokea simu ya bro, Dogo nakuja home kukuchukua nikale nawe bata za mwisho mwisho karibuni sikupati tena.
Leo nikasema wacha nikaoshe macho kabla sijaingia kifungoni, chezea maisha ya kuomba ruhusa. Tangu nipate tumbo nimekuwa mvivu nikasema sio mbaya wacha niende hivyo hivyo.
Sehemu zote tulizopita sijakutana/kuona Wanawake wenye Pete za Ndoa zaidi ni Wanaume wenye Pete za Ndoa na Wanawake wasio na Pete ama wako peke yao.
Nimebaki na maswali kibao yasiyo na majibu na mawazo juu, inamaana wakwangu naye atakuwa kama hawa na alivyo Mlevi yule bwana ntaweza kweli???
Wake zao wameshindwa kuongozana nao ama wamewakataza???
Au ndiyo ukiolewa wewe yako Nyumba???
Wanaume mnaraha sana maamuzi mikononi mwenu bila kujali umeoa ama una familia, wakati wowote unafanya unachojisikia bila kupangiwa na Mtu.
Ni raha lakini hayana future. Ukipata jero ni yako kabisa, hakuna kitu kinachokusukuma ufanye maendeleo.Maisha ya single raha sanaaa aisee