Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Siwezi.Kumbee mpaka wanakuazima hayo magauni yako yaliyokaa kama gunia? Wakati walikuwa wanakunanga.
Basi kumbe hawajielwi kweli.
Lakin na wewe si huwa unavaa siku moja moja ukienda viwanja ama??
Mie nimejibu mada, kama unaona hiyo ni kejeli sio tatizo langu ni lako. Wanaume waloharibika akili ndio mafurushi yenyewe, au ulitakaje labda?Sasa hukutakiwa kuikejeli maana unaweza kumkatisha mtu tamaa.
Acha uchoyo mpenzi wanguAcha uvivu soma
Pole mkuu ukisoma kwa utulivu uzi umepangiliwa. Muhimuma umepata japo neno moja, mengine haya ni personal test. Pole tena kwa kukuzingua mkuu.Nimejuta kwa kuanza kusoma uzi huu asubuhi ya leo.
Siku nyingine ujitahidi kufupisha na kupangilia taarifa yako bila kuchosha.
Unazingua mkuu haueleweki mara umedakia nguo za mashoga, mara ndoa, mara udaku, mara maadili ya watoto, n.k. aaaahh...!
Ooh hayaAcha uchoyo mpenzi wangu
Fanya hivo basi mpenziOoh haya
Hapo sasa umeiweka vizuri..Mie nimejibu mada, kama unaona hiyo ni kejeli sio tatizo langu ni lako. Wanaume waloharibika akili ndio mafurushi yenyewe, au ulitakaje labda?
EeeehFanya hivo basi mpenzi
Hata wale wanao piga magoti wakati wa kuvalisha Pete. Mwanamke ndie anapaswa kupiga gotiBado tunajadili wale wavulana wanaovalisha Wanawake pete za uchumba/ndoa wakilia lia mbele za wakwe na wageni waalikwa katika kikao chetu Wanaume cha 7.
Huu umama hatuukubali kabisa na tutahakikisha wavulana wa aina hii tunawafyekelea mbali hata kwa kuchomoa betri.
Wavulana wanaongea sauti za 3, kurembua macho, kuvaa suruali za mipira pa1 na wanaovalisha Wanawake pete wakiwa wamepiga magoti lazima tuchomoe betri ili tubaki Wanaume pekee.
Labda huelewi kuwa mwanamke anayemtaka sharobaro tayari akili yake imeshaharibika na sio wife material. Ndio kizazi tulichonacho, hawafuati mpangilio wa kiasili. Ni ajabu kama utamwona mwanamke analie eti ametendwa wakati alichagua kuolewa na mwanamume aliyeharibika akili. Huku ni kuoa ama kuolewa kwa malengo tofauti na tarajio mla mndoa halisi.Kitu huelewi wanaume ambao wanajielewa wapo ila wanawake hawawataki, hao masharobaro ndo wanawake wengi wanao wapenda na wanawategemea kujenga nao familia
Mfano angalia single mother wengi wao sio wote wanakahistoria cha kuwakataa wanaume wa maana Kwa kisingizio moyo hauja wakubali, na kuwakubali mashorabaro na mission town.
Kwa hy Uzi ulioleta una ukweli ila sio Kwa 100%, ila hongera
Wanawake ndo wanaume wanao wapenda Fanya utafiti utaonaLabda huelewi kuwa mwanamke anayemtaka sharobaro tayari akili yake imeshaharibika na sio wife material. Ndio kizazi tulichonacho, hawafuati mpangilio wa kiasili. Ni ajabu kama utamwona mwanamke analie eti ametendwa wakati alichagua kuolewa na mwanamume aliyeharibika akili. Huku ni kuoa ama kuolewa kwa malengo tofauti na tarajio mla mndoa halisi.