SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,796
- Thread starter
- #81
Unamadharau so yanini tuendele kutanianaIsipokuwepo nawe unatoa nini
Unamadharau so yanini tuendele kutanianaIsipokuwepo nawe unatoa nini
Umeamua kusema hivyoo because ulishakanyaga mto wenye mamba wakakukulq huna loloteKwa jinsi ulivyoandika hii comment pamoja na comments zako hapa jamvini wewe ni aina ya wanawake wa kisasa ambao umejielezea hapo kwenye bolded items.
Hahahaha,haya bibieMimi sio mwanaume yeye ndio anisupport vinginevyoo ataenda kutunza kwingine
OoohEndeleeni majukumu yenu ila hamtaki kujituma ndio maana wengi wanafumuliwa marinda
Mambo hebu tupia kipicha kidogo weekend inaanzaHahahaha,haya bibie
Hahahaha,nichokoze Kwa kuanza wewe mie nimalizieMambo hebu tupia kipicha kidogo weekend inaanza
Labda kama ww unatania, mimi sitaniiUnamadharau so yanini tuendele kutaniana
Umenena vyemaPenzi sio biashara ya matunzo Bali ni asili!
Toeni penzi Kwa mahitaji ya asili mlivyoumbwa na sio kigezo Cha kuhudumiwa!Ni aibunkuzaa mtoto anaewaza amekuja duniani Ili atoe penzi apate huduma yaani kufanya ukahaba baridi!!kama huwezi kujihudumia mwenyewe kama mwanamke Kwa kufanya kazi wewe ni mlemavu na ulipaswa kunyimwa viungo Ili uhudumiwe vizuri!
Badilikeni coz bibi zetu walilima mashamba,wakabeba mikungu ya ndizi Hadi sokoni wakanunua vya muhimu familia ikafurahi!!
Noma sana!50_50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona nyuzi kama hii, jua Mtu kashaumizwa huko[emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe ndiyo tatizo yawezekana mwanamme akikuangalia anamuona mama yake kwako kwa hiyo lzm uprivide tu hamna namnaWAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .
Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.
Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.
Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
Wewe ninani naunahusikaje na maisha yangu mimi sikujui na hunijui hizi nizile post zangu za ujinga ujinga za humu . Humu hakunaga wanaume humu kuna maajabu ya Mungu na uumbaji wakeWewe ndiyo tatizo yawezekana mwanamme akikuangalia anamuona mama yake kwako kwa hiyo lzm uprivide tu hamna namna
Kama mwanamme akikuangalia anakuona mke lzm akupe staha ya mke
Na kama akikuangalia anaona wewe ni malaya, atakupe atensheni ya malaya
Wewe hebu kalete hako ka pochi yoyooo uone kama hakuna wanaume 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ninani naunahusikaje na maisha yangu mimi sikujui na hunijui hizi nizile post zangu za ujinga ujinga za humu . Humu hakunaga wanaume humu kuna maajabu ya Mungu na uumbaji wake
hamnagaa humuWewe hebu kalete hako ka pochi yoyooo uone kama hakuna wanaume 🤣 🤣 🤣 🤣
Ulinipa kipochi nikashindwa kukisambaratisha?hamnagaa humu