Tupo sana ila mimi nilishaoa,nadhani swali lako lingehusu wachumba wa ukweli,kilio si cha mabinti tu bali na wavulana wapo wanaouliza wasichana wa ukweli wapo? ikitokea wakawepo wawili wa ukweli yaani msichana na mvulana kuna siku Mungu atawakutanisha.Kama ni magumashi nao wanakutana maana kawaida ya Mungu ni kukupa wa kufanana naye.