Wanaume Wakurya na ninyi mnapenda kulelewa

Wanaume Wakurya na ninyi mnapenda kulelewa

Nasemaje hili mwanamke ugharamikiwe lazima mambo mawili yatokee...

1.uwe na mwanaume anayekupenda .

2. usiwe Malaya.

Note:Wanawake wengi mmekuwa mnagawa sana uchi kiasi kwamba kumuhudumia mwanamke imekuwa kama ujinga hivi au old fashion flani hivi.

Ukipata mwanaume anakupenda na wewe ukajichunguza kabisa huna chembe za umalaya na Mwanaume uliye nae akaona kbs huna chembe za umalaya Basi kukuhudumia mwanamke ni raha Sana..

Jitathimini mwanamke Ana thamani Sana, je wewe una thamani?je sio Malaya?Je huna chembe chembe za umalaya ambazo mwanaume anaweza kunusa na akahisi Huna thamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri muzur asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nashangazwa nakusikitishwa na baadhi ya wanaume kupenda mteremko,

Kwa watu wa pwani si ajabu, lakini vipi wanaume wa bara? mnaojinasibu kwamba ninyi watu wa kazi, imekuaje?

Mnatia aibu, mnakoelekea baadhi yenu mtatamani kuvaa magani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie kuongea shemeji..... Wanatia aibu haswaaaa!!!!
 
Hilo ni janga ambalo mzizi mkuu ni ukosefu wa ajira nchini. Sio kama vijana wanapenda kulelewa ila kazi ngumu kupata na mitaji hakuna. Sasa ukiangalia je? Kijana aendelee kuwa mzigo home kwa wazazi na wadogo zake akilia kazi hamna au aparangane na life akisaidiwa na mwanamke wake permanent mwenye kipato asimamie show hadi mambo yakikaa mstari wafanye maisha?!

Mambo yamebadilika wadada muwavumilie tu vijana wetu. Haiko sawa ila ni hali ya maisha tu.
 
Back
Top Bottom