scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Sio khanga 🤣tshirtsKwakweli ni wabaya sana,uwe unatoa taarifa ukiwa unaenda kwa watu
Kwa hiyo baby yako ulimpa zawadi ya kanga na t shirt naye akampa baby yake kama zawadi siyo?
So ulimaanisha ile ya kujifunga?Sio khanga [emoji1787]tshirts
Vise versa's trueHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Mwanamke alivaa khanga niliokuwa nimeicha sio kama nilimpa zawadi soma vizuri kpnzSo ulimaanisha ile ya kujifunga?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Hujasoma vizuri, ndo wale wale andika kweli ama si kweli, unaanza kujaza kweli na hapanaKhanga unampelekea mwanamme kama zawadi?
siku nyingine ukitaka kwenda kumuona mpe taarifa ulinde moyo wako mwaya
una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadiHujasoma vizuri, ndo wale wale andika kweli ama si kweli, unaanza kujaza kweli na hapana
'Ambayo'una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi
Binadamu wapo watakushauri wapo watakao kuongezea maumivu🤣unachukua yanayokujenga mengine unawaachia😀Daah hizi Comment za Watu humu Ni Kukomoana tuu Mpaka aliye tendwa kazoea Mazingira Anachukulia Kawaida Safi lakini Sio Mbaya
Yaah Safi Akili Kubwa SafiBinadamu wapo watakushauri wapo watakao kuongezea maumivu🤣unachukua yanayokujenga mengine unawaachia😀
Women mercilessly punish simps.They have to pay exorbitant prices for products others got for free.Wanawake wanaandikaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miswaki wana-share!Pole sana hapo ishu ni usaliti nguo mnavaliana sana. Mpaka miswaki mnashea
Hivi wewe Mwanamke unatunga au ni kweli yanakukutaga?Yap nimepigwa changa la machoo , nimejitoa hadi mwisho kumbe mwanaume yupo na mpenzi wake aliyemtambulisha tayari , majuzi kati simu ikapigwa kupokea anasema mke wangu halali Kisa message zako muhakikishie siye ni marafiki tu nasio wapenzi , halafu nikakata mwanamke akapiga akanikanya yalaah sijui waafrika wananionaje?? Kama taktaka hivi
Yesu kafufuka mnaanza kupigana matukioHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.