Wanaume waanza kujiuza

Hii kitu si kwa mabaunsa wa klub tu hata kwa WANACHUO WATEGEMEA BOOM wanapenda sana kutafuta mijimama chuoni yenye hela zao ili wawe wanawapa mpunga yaani kuwatoa,Wenyewe wanachuo wanaita KUSAFIRIA NYOTA

Mmmmh,hapa ume chapia,sidhani kama kuna ukweli hapo
 
Nyie mwa shangaa v2 vdogo hvyo wakat mwanaume ukiwa fit katka majamboz lazma mijimama yenye mihela ikuchukue na ukiirizisha lazma kila cku akupe mpunga wa maana hapo una win kmaisha aisee kwa vle mabwana zao hawawarizsh kabisa datz why wanafanya hv.

Ishu ndo inaanzia hapo,hiyo mijimama imejuaje kwamba
uko "fiti" kama huuzi?....i mean hufanyi biashara na ume waonjesha.
 
Mungu anashida kweli yani
hata hili ni lake jamani. manake nashindwa kudadavua, kuna wanaopenda
majimama na kuna wanaopenda wababa wenzao sasa kazi kweli. lakin wenzetu
kaka zetu mbona sisi wa umri wenu tupo?na tunawapenda?

Hamna pesa ya kuwapa.
 
....kuna uhusiano gani kati ya kutunisha misuli na kujiuza....?

Hakuna uhusiano wowote ule,ni tabia ya mtu tu.
Ni kama kusivo kuwa na uhusiano kati ya kuvaa vimini na kujiuza.
 
....therefore.....the post is invalid.....

Inategemea na wewe uko vipi kichwani.
Huwezi kua zuzu na ukaona logic kwenye kitu chochote kile.

You claim it to be invalid?
You're right,b'se ndivyo ulivyo.
 
Mbona siku nyngi sana!!???
Wanaume wananunuliwa na kutumika tu sana
 
...hapa inaonekana mkwanja ndio mpango mzima...nina waswas na mwanaume wa aina hiyo atashindwa kuhongwa hata na JIBABA?...tyring to think out of the post...lol
 

mwanamke - kahaba
mwanaume - maluuni.
 
Duh,kwa hiyo hii ni kitu ya zamani sana eh?
Basi sio mbaya,"haki sawa" naona imeanza zamani ila
ilikua haionekani

Siyo haionekani, hatutaki kuikubali lakini ukweli ni kuwa ipo enzi na enzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…