Naogopa kusema ni nini maana nita conclude topic mapemaaaaa.
Khaaa! Sipati picha pale baunsa atakavyoanza kuwa mistreated. Mwili huo halafu anatukanwa hadharani kisa shida na kupenda vya dezo. THIS COUNTRY BWANA!!!
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye MIHELA yao.
ISSUE IPO HIVI:
Uchunguzi ulibaini kuwa vijana wanaojihusisha na biashara hiyo ni wale walio
fiti kwa mazoezi ya gym au wababeba vitu vizito wanaosifika kwa kutunisha vifua a.k.a mabaunsa.
USISHANGAE KWAMBA:
Kuna madai kuwa, baadhi ya wanawake wanaowachukua vijana hao ni wake wa vigogo (wanasiasa)
na watumishi wa serikalini ambao ndoa zao hazijatulia.
Kama wadada wakijiuza wanaitwa makahaba,......wanaume wanao jiuza kwa style hii tuwaiteje?

Sio club tu, hata maofisini vijana wadogo wanajilengesha kwa wamama na wake za watu. Msisingizie mabaunsa wa watu.
Hawa waitwa makababu (Maana yanaliwa tuu). Kwa sasa Tanzania wanaume wengi wanapenda mteremko! We unacheza
pool table asubuhi mpaka jioni unategemea nini? Ndo kujiuza kunaanzia hapo