Ukizubaa lazima ukatwe
Kama unashida na wa ukweli nipo mimi njoo pm mimi sio tapeli nitakutunza
King'asti kumbe na wewe hujamwelewa, nilidhani ni mimi peke yangu!!Sasa hapo unatafuta kutunzwa ama kupendwa? Sijakuelewa kabisa.
Anasema hivi pesa mbele hata bibilia imeandikwa
Jukwaa hili la mapenzi huwa ndio jukwaa ambalo huwa haipiti siku mbili bila kuangalia posti za mahusiano. Tuachane na hayo leo nitazungumzia vitu ambavyo huwa nikiwaza huwa naenjoy sana hususana kwa wanaume au wavulana. Mara nyingi wavulana huwa wanatulaghai sana sisi wanawake ili mradi watuchungulie alafu wanasepa. Utakuta mwanaume mtu mzima anakuaproach alafu anavyokuaproach anaweka uwongo mwingi mpaka unamshitukia, mara nataka nikuoe, nipo tayari kukuhudumia, nina malengo ya kuishi na wewe kama mke wangu. Hizi ndo swaga za wanaume. Hapo ukimchunguza kwa saikolojia tu utagundua kama ni tapeli ama lah. Wanaume wengine matapeli wa kukulaghai utawajua. We wakubalie alaf wazungushe kidogo ili uwapime kama kweli wapo tayari au wanataka kuchakachua? Utagundua ukimwambia nahitaji unitunze kwa kuwa imeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu kuwa mwanaume atatoka jasho ili mwanamke ale, japo mwanamke pia anazaa kwa uchungu. Apo ndio utakapo gundua kuwa asilimia nyingi ya wanaume huwa wanataka papuchi zetu tu alafu wanakimbia. Japo sio wote ila katika msafala wa mamba na kenge wapo pia. Tujitambue mapema jamani.
makorokochoMd4doctor hzo ni swaga2. Eti mwanaume aliletw kwa ajil y mwnamke... Leo wanaume wngp wanalelewa? Hyo zaman ila mjitambue.
Hehehee..... Kuishi kwa kutegemea pesa ya mwenzio ni utumwa wa hali ya juu sana..!
sio kweli ila mnatuzid ujanja japo tumeshituka.
mi huwa naulizia bei mapema nikishapewa papuchi tunamalimaza nasepa.

uongo ni kama kiunganishi vile mtu anasema uongo had aibu looo