wanaume wa type hii huwa wananikosha.

wanaume wa type hii huwa wananikosha.

Yaani hii sasa ni sawa na biashara tu;kwasababu kama kufanya mapenzi ni mpaka mwanaume akutimizie mambo fulani ya kifedha au yanayohusiana na fedha, ni sawa na kufanya biashara tu.
 
Jukwaa hili la mapenzi huwa ndio jukwaa ambalo huwa haipiti siku mbili bila kuangalia posti za mahusiano. Tuachane na hayo leo nitazungumzia vitu ambavyo huwa nikiwaza huwa naenjoy sana hususana kwa wanaume au wavulana. Mara nyingi wavulana huwa wanatulaghai sana sisi wanawake ili mradi watuchungulie alafu wanasepa. Utakuta mwanaume mtu mzima anakuaproach alafu anavyokuaproach anaweka uwongo mwingi mpaka unamshitukia, mara nataka nikuoe, nipo tayari kukuhudumia, nina malengo ya kuishi na wewe kama mke wangu. Hizi ndo swaga za wanaume. Hapo ukimchunguza kwa saikolojia tu utagundua kama ni tapeli ama lah. Wanaume wengine matapeli wa kukulaghai utawajua. We wakubalie alaf wazungushe kidogo ili uwapime kama kweli wapo tayari au wanataka kuchakachua? Utagundua ukimwambia nahitaji unitunze kwa kuwa imeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu kuwa mwanaume atatoka jasho ili mwanamke ale, japo mwanamke pia anazaa kwa uchungu. Apo ndio utakapo gundua kuwa asilimia nyingi ya wanaume huwa wanataka papuchi zetu tu alafu wanakimbia. Japo sio wote ila katika msafala wa mamba na kenge wapo pia. Tujitambue mapema jamani.

Pole mdada. Mara nyingi wanawake mnataabika kwa sababu mnaweka mbele utegemezi. Unaweka akili yako kwenye kutunzwa na mwanamume. Yote hiyo ni ili ukwepe majukumu. Tafiti zimeshaonesha kwamba ukiondoa tofauti za uke/uchi, mwanamke yuko sawa na mwanamume. Anza kwanza kutumia nguvu zako upate pesa ujitunza halafu mwanamume we kwa ajili ya matamanio ya kimwili tu na si vinginevyo. Kwa kufanya hivyo utakuwa na uwezo wa kumchagua mwanamume unayemtaka. ANZA KUJITEGEMEA WEWE NDIPO UMTEGEMEE MWANAMUME.
 
Back
Top Bottom