Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
"...We wakubalie alaf
wazungushe kidogo ili
uwapime kama kweli wapo tayari au wanataka
kuchakachua?..."
Kuna kitu wasichana and/or wanawake (na hata baadhi ya wanaume) hamkijui! Kwa lugha nyepesi mmekariri!
Sisi wanadamu tunatofautiana sana kwenye kurespond vitu!
Kuna watu ukiwasumbua na kuwapelekesha and if wamependa kweli ndio watakaoingia kwenye hiko kipimo chako! But this is not conclusive!
Kuna matapeli wanaweza kupasi kwenye hiko kipimo! = utamsumbua, atasumbuka but mwisho wa siku akikuvua pichu mchezo unaishia hapo!
Also kuna w/me hawapendi usumbufu (includes me) hata wakupende vipi ukijaribu tu kuleta za usumbufu ana conclude wewe sio wife material as a result anachanganya soli mapema sana!
Embu w/ke tambueni hilo!
Njia za kumpima m/me whether anamapenzi ya kweli or not ziko nyingi na zitategemea na m/me mwenyewe!
Kumsoma mtu ni muhimu kabla ya kumpa mtihani utakaokupa majibu sio!
Nadhani nimesoumeka hapo!