wanaume wa type hii huwa wananikosha.

wanaume wa type hii huwa wananikosha.

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
Jukwaa hili la mapenzi huwa ndio jukwaa ambalo huwa haipiti siku mbili bila kuangalia posti za mahusiano. Tuachane na hayo leo nitazungumzia vitu ambavyo huwa nikiwaza huwa naenjoy sana hususana kwa wanaume au wavulana. Mara nyingi wavulana huwa wanatulaghai sana sisi wanawake ili mradi watuchungulie alafu wanasepa. Utakuta mwanaume mtu mzima anakuaproach alafu anavyokuaproach anaweka uwongo mwingi mpaka unamshitukia, mara nataka nikuoe, nipo tayari kukuhudumia, nina malengo ya kuishi na wewe kama mke wangu. Hizi ndo swaga za wanaume. Hapo ukimchunguza kwa saikolojia tu utagundua kama ni tapeli ama lah. Wanaume wengine matapeli wa kukulaghai utawajua. We wakubalie alaf wazungushe kidogo ili uwapime kama kweli wapo tayari au wanataka kuchakachua? Utagundua ukimwambia nahitaji unitunze kwa kuwa imeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu kuwa mwanaume atatoka jasho ili mwanamke ale, japo mwanamke pia anazaa kwa uchungu. Apo ndio utakapo gundua kuwa asilimia nyingi ya wanaume huwa wanataka papuchi zetu tu alafu wanakimbia. Japo sio wote ila katika msafala wa mamba na kenge wapo pia. Tujitambue mapema jamani.
 
Kwa hiyo wewe na yule anayetaka tutangulize kwanza sh. laki tatu aende kwanza saloon mpo njia moja sio? Badilikeni jamani wanawake dunia itawafanya vibaya hii. So you meant papuchi is your capital, is it?
 
mi huwa naulizia bei mapema nikishapewa papuchi tunamalimaza nasepa.
 
Ukiona demu anaweka pesa mbele kabla ya kudinywa ujue keshajua papuchi yake haina maslai. Jamaa akigonga haridii.
 
sio kweli ila mnatuzid ujanja japo tumeshituka.
 
Mmmmh!hz mada nazo!nasubiri ya upande wa pili.NAJUA NA ME WATATOA YA KWAO JUU YA wanawake!
 
Mimi ndio maana naona ni bora kuendelea kuishi single kuliko kuwaendekeza hawa wanaogawa papuchi kwa kubadilishana na pesa....maana siku hizi hata ukisema utumie ndo.mu hazi-aminiki! Wengi wa aina hii......kama yuleeee wa Swaga za sh. laki tatu....ni Hatareeee - zaidi ya majanga!
 
Jukwaa hili la mapenzi huwa ndio jukwaa ambalo huwa haipiti siku mbili bila kuangalia posti za mahusiano. Tuachane na hayo leo nitazungumzia vitu ambavyo huwa nikiwaza huwa naenjoy sana hususana kwa wanaume au wavulana. Mara nyingi wavulana huwa wanatulaghai sana sisi wanawake ili mradi watuchungulie alafu wanasepa. Utakuta mwanaume mtu mzima anakuaproach alafu anavyokuaproach anaweka uwongo mwingi mpaka unamshitukia, mara nataka nikuoe, nipo tayari kukuhudumia, nina malengo ya kuishi na wewe kama mke wangu. Hizi ndo swaga za wanaume. Hapo ukimchunguza kwa saikolojia tu utagundua kama ni tapeli ama lah. Wanaume wengine matapeli wa kukulaghai utawajua. We wakubalie alaf wazungushe kidogo ili uwapime kama kweli wapo tayari au wanataka kuchakachua? Utagundua ukimwambia nahitaji unitunze kwa kuwa imeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu kuwa mwanaume atatoka jasho ili mwanamke ale, japo mwanamke pia anazaa kwa uchungu. Apo ndio utakapo gundua kuwa asilimia nyingi ya wanaume huwa wanataka papuchi zetu tu alafu wanakimbia. Japo sio wote ila katika msafala wa mamba na kenge wapo pia. Tujitambue mapema jamani.
Naomba mistari hiyo na mimi nikasome kwanza ili nije na jibu lako
 
Md4doctor hzo ni swaga2. Eti mwanaume aliletw kwa ajil y mwnamke... Leo wanaume wngp wanalelewa? Hyo zaman ila mjitambue.
 
Dah! Nitofauti na nilivyo tegemea. Nilidhani wanaume wenyewe vibamia au dushelele kubwa wanakukosha! Kumbe ni matapeli ya mapenzi bhana. Tukutane baadae.
 
Nashukuru sana Mungu mkubwa amekulinda hukujifupisha maisha yako maana ilikuwa siku kama ya leo tulitangaziwa msiba wako
 
Back
Top Bottom