Wanaume wa mikoani Mungu awajalie

Wanaume wa mikoani Mungu awajalie

A2G

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
283
Reaction score
834
IMG_4912.JPG
 
Watu wa mikoani mnanifurahishaga mavazi yenu tu. Cheki suruali ya huyo jamaa.
 
  • Thanks
Reactions: A2G
Mapenzi mubashara kumbe mikoani bado yapo
 
siyo wanaume sema wanamume. Dar ndiyo wanaitwa wanaume.
 
Dsm hii, watakuwa wanakwenda ustawi wa jamii hawa, mke amemtelekeza mtoto mchanga, siunaona picha inaongea !!!!!
 
Back
Top Bottom