sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,352
Swali zuri sana hili, maana Tanzania imeungwa na mikoa,HIVI MIKOANI NDO WAPI?
Swali zuri sana hili, maana Tanzania imeungwa na mikoa,HIVI MIKOANI NDO WAPI?
hahha true love
IMY mwanaume wa mkoani naja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahha true love
hahha nakungoja,utaishi kama malkia ukiwa na mwanaume wa mkoaniIMY mwanaume wa mkoani naja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweeehahha nakungoja,utaishi kama malkia ukiwa na mwanaume wa mkoani
Hiyo inaitwa SARAWILIWatu wa mikoani mnanifurahishaga mavazi yenu tu. Cheki suruali ya huyo jamaa.
HIVI MIKOANI NDO WAPI?[/QUOTE
nje ya dsm
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Dar ni mojawapo, toka jiwe liseme serikali inahamia Dodoma.
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Wapo romantic
Nani kakupa mamlaka ya kurusha picha yangu hum??
Eeh ndio Mkuu, Kanikosea sana kijanaaWewe ndo huyo uliyevaa suruali 4GB mkuu?
Unataka kusema ni chattle?Kamwe hapawezi kuwa Tarime au Rorya hapo
Tena sio wanaume wanaitwa wanammesiyo wanaume sema wanamume. Dar ndiyo wanaitwa wanaume.