Tatetitotu
Member
- Mar 6, 2018
- 58
- 42
Kipindi cha hivi karibuini nilitembelea mikoa kadhaa tofauti tofauti mijini na vijijini, katika Zungukazunguka angu nililjifunza mambo mengi sana mabaya na mazuri jambo zuri kuliko nilijifunza toka kwa watu wa mikoani ni ukarimu lakini kwa upande wa jambo la ovyo kabisa ni Wanaume watu wazima wenye Akili timamamu tembea uchi wa mnyama alafu wenyeji wanaona ni jambo la kawaida
Nikiwa simiyu katika Wilaya ya Itilima kijijini fulani midaa ya Saa tano asubuhi siku ya kazi tulikutana na vijana wakubwa wa 3 na mzee mmoja wakichimba shimo huku wakiwa Uchi wa mnyama isipokuwa yule mzee na wenyeji walionyesha kuwa tukio hilo ni lakawaida sana
Ukiachilia mbali Simiyu nikaja nikashudia kioja kingine nikiwa katika jiji la Mwanza nikiwa na tokea Rock city mail naelekea Nyegezi Nikiwa kwa daladala nikashuhudia tena Wanaume watu wazima wakioga uchi wa mnyama ufukweni bila hata chembe ya uoga na wananchi wanaona kawaida tuu
Nikiwa mkoa wa Mara katika Wilaya ya Rorya kijiji cha kitembe nikaona pia mwanaume anatembea uchi bila hata chembe ya uoga na watu hawajali
Hivi karibuni nikiwa natoka Igunga katikati ya mji wa Igunga na kata ya Shelui(Singida) Nikiwa kwa daladala nikashuhudia tena mtu akioga uchi wa mnyama huku akiwa kachuchuma Mzee wa kazi anakaribia gusa ardhi maana alikuwa na urefu wa mandingo
Katika huo huo mkoa wa Singida Kata ya shelui nikiwa kwa boda boda njiani namuona mtu mwenye akili timamamu anatembea uchi wa mnyama pembezoni mwa Barabarani bila hata chembe ya uoga na aibu
WITO:WANAUME WA MIKOANI ACHENI TEMBEA UCHI MNATUDHARIRISHA WANAUME KWANI KATI YA MATUKIO YOTE HAYO NI TUKIO MOJA TUU SIKUWA NA MTU MWENYE JINSIA YA KIKE