Wanaume wa mikoani mnatuangusha wenzenu wa Dar kwa kutembea uchi

Wanaume wa dsm ni waoga mno yaani mvua ikianza kunyesha utawaona wanavyokimbizana na foleni ya magari uongezeka maradufu barabarani
 
Kwanza hakuna uchi wa mwanamme ila uchi ni kwa mwanamke tu. Kingine umesema kati yao watatu uliona wana viba100 sasa lengo lako ilkuwa nn hadi kutazama migongoraa ya wanaume? Usitake kunambia ulkuwa unapima uzito mzee..
 
Hiyo mikoa ndo yenye PhD na vyeti visivyoeleweka hivyo naomba usitafute majibu wakati unajua
 
Kikijini hayo mambo kawaida sana.
Wameshazowea si uliona mwenyewe, hawana hata Shida maisha yanasonga.
Imani za kishirikina ni Tatizo dawa gani ya kuchimba uchi wa mnyama au wadanganyanana usafi ya watu wanaokuona ikiwa kubwa dawa ndo inakuwa na nguvu zaid
 
Back
Top Bottom