Mkuu usigenerelize!!!!! kam una mkeo mkamate ipasavyo wala usimwachie uone km atakusaliti!!!! mwanamke huwa asaliti ndoa kizembe ivo,,,, mfn,,, unakesha JF, FB, INST n.k lakin akikutext msg mkeo hujibu mpaka unarudi hom ndo una mpa kwa mdoMo je unazan hapo kati hawez tokea atae timiza haja zake???? unakumbatia laptop adi wik 2 znapta game hujampa je hapo kati hajafatwa nakuombwa??? matokeO yake mke wa mtu akitoka nje ya ndoa anaonekan ye malaya mkubw tofaut na mwanaume atokavyo wala hawez kufikiliwa vibay badala hake mwanamke ndo anakuw mbaya siku zote!!!!!!! MUNGU awasamehe nyinyi mnaoona mwanamke kila lililO baya ni lake.