Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
- Thread starter
- #581
Ooh mmekuja sasa ee... Ngoja nimuite
Kwa hiyo kumbe unamjua Mkurugenzi wa NYC vizuri tu!
Ooh mmekuja sasa ee... Ngoja nimuite
Nitamtafuta Linda, maana inaonekana naye ni mgovi kama Director!
Huyu Dada ni mshari kuliko hata Director! Maneno yako aisee!Holy guacamole!
Huyu Dada ni mshari kuliko hata Director! Maneno yako aisee!
Hivi Director wa NYC amekula kona? Naona alibipu bipu tu na akatoweka...😀
Freema Agyeman njoo wamekuja
Hao wakware wanaongea kwa mafumbo, mwenye balls anitaje au kuninukuu niwe na hakika wananigusa mimi.
Director...mambo? Za NYC?
😀😀😀.
Mbona za NYC hujajibu?
Nikujibu wewe kama nani?
Kwani ulivyoninukuu umeninukuu kama nani?
Kama mkuda na mkware uliyefulia.
Mfyuuuu.