Wanaume wa Marekani mna nini?

Ili nalo linahitaji kujadili....we rudi kijijini kwenu zen leta mrejesho hapa

Mie nilikuwa Reading Berkshire miaka ya 2004, I know that experience
 
Kasusa amenyimwa visa. [emoji2] [emoji3] [emoji2]

Mkuu huo mzimu sijui ulitokea wapi, kweli naweza kuamini kuna maiti huwa zinaibuka makaburini halafu zinakuja kusumbua watu uraiani!
 
Lol. Nisaidie kucheka. Hapo hajapewa kichambo anaomba misamaha na kiingereza cha Misungwi... akichambwa si atabadili ID au kuhama JF.
Hahahahaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"JF IS NEVER BORING" The Boss
 
Nyani Ngabu umenifanya muda wote nachungulia humu kwa ajili ya hizi picha, kweli wanawake ndio maana huwa wanalowa wakikutana na M-USA!
 
Mkuu huo mzimu sijui ulitokea wapi, kweli naweza kuamini kuna maiti huwa zinaibuka makaburini halafu zinakuja kusumbua watu uraiani!

Ila kwa ile dozi aliyopatiwa ni lazima angerudi makaburini alipotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…