Wanaume wa kileo

Wanaume wa kileo

Jamani jamani vijana wa leo!!! Badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger,
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki., maharage....matunda nk.....mjenge afya zenu...
Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikiniii jamani ni afya....

Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka lol !!! Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani...
You got issues.
 
Hakikisha huyo jamaa yako unampikia vyakula ulivyoshauri ili apige kazi.wewe ndo wa kwanza ooooh! Baby nimechoka kupika tule chipsi,sasa unalalamika nini.
 
Tutaibiwa na nani maana umesema wanaume wa kileo? Au tutaibiwa na vijana wa kesho na wababu jana?

Binafsi hizi mada zenu za kutaka wanaume wawe slaves wa kuwarizisha bila nyie kubadilisha maono, u-drama queen,umalaya, kufutuka tu kuwa kama maputo, ubinafsi, akili za ku-copy na ku-paste!

Kwa maono yangu hamna hata thamani za mama zenu, mmechoka balaa, chini hamna ladha kama kutafuna taulo liloloa!

Binafsi ni bora nijitume kwa Mmama wa miaka 45 kwenda juu bila hata kuhitaji chochote coz wana ladha kuliko haya matapu tapu ya umri wangu

Nani anataka kujututumua kwa kitu kisicho na adhi ya kujitutumua!

Jamaa kama ulikuwepo... Nilikua na kidem kimoja hv tukapotezana kama mwaka hv... Nilivyo kuja kukigegeda tena hakina kitu kabsa utamu wote kwisha.... Sio kama zaman halafu eti kinaleta pozi za ndoa... Hahahahh tupa kule
 
Jamani jamani vijana wa leo!!! Badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger,
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki., maharage....matunda nk.....mjenge afya zenu...
Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikiniii jamani ni afya....

Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka lol !!! Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani...
Ila wanawake wanaruhusiwa kula hivyo vyakula au uroho wenu mnataka mle wenyewe? thubutu nitakula na kwenye game unakimbizwa vile vile acheni mashairi yasiyokuwa na vina hayo,kama unampenda mtatafuta njia ya kusolve tatizo kwa pamoja na hahuo ndiyo tunaita upendo wa dhati siyo unajiibisha mwenyewe kwa kisingizio eti haniridhishi kwanini hukuolewa na yule ambaye ulihisi anakuridhisha? wewe kama umeamua kuchepuka chepuka tu
 
Jamani jamani vijana wa leo!!! Badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger,
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki., maharage....matunda nk.....mjenge afya zenu...
Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikiniii jamani ni afya....

Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka lol !!! Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani...

Hii ndo News alert?

Ulishapadwa na wangapi sekunde wakawa wanashuka??

Kwani sikuzote unapopanda si lazima ushuke?? au kuna wanao potelea huku huku.

Yeye ndo anashuka au mzigo ndo unashuka?
 
Wanawake wa kileo wanajiangalia wao kuwa wana haki ya kuridhishwa hawafikirii kama mama zetu....umeongea point kaka
ni wa binafsi, maisha mazuri wapewe wao, kuongwa wao, kuridhishwa kimapenzi wao, kutetemekewa wao,kulala wabembelezwe kwanza wao walale, kwenye raha lady is first!

kuchapiwa iwe sisi, kuhangaiaka na maisha kwa ajili yao iwe sisi, madeni na bill zote sisi, kwenye hatari tuwe wa kwanza kujitoa sadaka kwa ajili yao!

what in hell do they gives us in return? f**** dem all!
 
Washenzi hao tena ukiwakuta ktk mavazi yao mwili wote unakusisimka ingia nao ktk gemu mmmmmh hamna kitu kabisa moja tu hata kama ulimpa 1000 unaijutia
 
Naona leo umeamka nao.
kaamka na nani huyu? kashindwa kumpangia diet mtu wake na kujiweka mkao wa kutamaniwa na kupaniwa halafu anategemea mbio ndefu?
kwanza ana uhakika kama anavutia? usikute mtu mwenyewe kama dubu ladha hana halafu anataka watu watafute madini huko downstairs, atawapata wapi?
 
Mweeh!
mie mwanamke wa zamani. Ningekuwa wa kileo aisee ningetamani kujionja, ila ngoja nianze na taulo lililoloa niridhishe imagination yangu.

Back
Top Bottom