Wanaume wa kileo

Wanaume wa kileo

Jamani jamani vijana wa leo badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger.
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki, maharage, matunda ili mjenge afya zenu.

Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikini jamani ni afya.

Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka.

Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani.

Ukipiga show ndefu mnakuja tena hapa kujilalamisha mara ooh kuna wanaume wanachoshana. Mnaongea sana nje huku ili mjilinde madudu yenu mnayofanya kitandani ila ukweli mnajua
 
Tutaibiwa na nani maana umesema wanaume wa kileo? Au tutaibiwa na vijana wa kesho na wababu jana?

Binafsi hizi mada zenu za kutaka wanaume wawe slaves wa kuwarizisha bila nyie kubadilisha maono, u-drama queen,umalaya, kufutuka tu kuwa kama maputo, ubinafsi, akili za ku-copy na ku-paste!

Kwa maono yangu hamna hata thamani za mama zenu, mmechoka balaa, chini hamna ladha kama kutafuna taulo liloloa!

Binafsi ni bora nijitume kwa Mmama wa miaka 45 kwenda juu bila hata kuhitaji chochote coz wana ladha kuliko haya matapu tapu ya umri wangu


Nani anataka kujututumua kwa kitu kisicho na adhi ya kujitutumua!

This z jf bana wer pipo dare to talk openly..very right
 
Wanawake wa siku hizi wako expensive sana! Wanataka kuishi maisha ya kwenye sinema, dream lifes wanataka kuziweka kwenye reality kwa kutegemea mifuko ya wanaume! Its shame!

Sasa wanatumia vigezo kama vibamia,sijui pumzi ndogo n.k kama justification ya kuchepuka ili wapate wanaume wa ku pay their bills!

Mwanamke analalamika mwanaume wake hamtoshi kitandani ila utamkuta yuko na mzee wa over 60yrs!! Sasa unajiuliza kama kijana mwenzake wa rika lake anasema hamtoshi je huyo mzee ndo anamtosha??

NB: sorry kwa wazee wangu. No hard feelings.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Wanawake wamefanya VIUNO ni MTAJI wanajiliza kwelikweli ukiwakuta kitaa na vizinga wanavyopiga utaona Bonge la DEM unaona ngoja uwekeze ukapate burdan duh,,,,,!! Unaweza kujutia pesa yako wanajitegesha tu mwendo wa GOGO mawazo wamewekeza kwenye POCHI ukiwanyima wananu na hawajui kuwa mtu anatoa pesa yake apate burdan wanaishia kualalamika tu,,!
 
Maskini dah!.hadi nimeona huruma.

Tunakutana na mengi ndiomaana vischana vinapogwa chini kila cku na jamaa zao watu wanataka Burdan yakikweli yee analeta Mambo yakwenye EGOLI pumbav,,,,!
 
mbna wafurah hvo mkuu..unazaba/unazabagwa?...teh teh tehteh
 
Mwambie mumeo bana, haah!. Mm usinipangie nile nin na nin nisile? Na swala la kuibiwa lipo tu, hata ule cjui dona.
 
Back
Top Bottom