Wanaume wa kichaga

Bila shaka wenye kabila lao wamekupopoa vyakutosha😊🤭🤭!!
 
Wewe ndo umepooza mimi ni mchaga na napendwa na mademu wananisifiaga balaa kwa moto naopeleka japo nimeoa basi sijakuambia mashangazi niliyoyapelekea moto hadi wengine wananihonga na kuning'ang'ania ili niwatafune
 
Mnavyojisingizia kutafuta pesa sasa wakati wengine hamna hata mia.
Tatizo lako huna muonekano kiufupi humfai huyo jamaa ndo maana hata anaona hakuna haja ya kuwa romantic kwako au kukupa show show infact wewe sio fungu lake ktk mahaba
 
Hizo sehemu ziliwekwa mahususi kwa kupata uzao,hayo mengine tafuta hata mbwa anaeeza $&@$&?type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…