Hivi ukiambiwa uchague kati ya mwanamke malaya ila mnyenyekevu na mwanamke muaminifu ila mjeuri na hautakiwi kuchepuka utachagua yupi kati ya hao?
I am not but your are! dumb who fails to hide your nakedness.. wewe ni msungo hujafundwa wewe. Huo uchi si utakuwa kama upara wa mugabe huo.
Malengo yangu yanatimia hata bila msaada wake, hapa ni kwangu siwezi kuondoka kwa sasa, nilijiwekea malengo ya kutotafuta nyumba nyingine ya kupanga hadi nihamie kwangu niliojenga.Inawezekana kweli humuwezi,hajachangamka and all that,ila shida ipo kwanini usingemuachia aende?hata sasaivi umwambie tuu ukweli hauwezi kuendelea nae? Mpaka target zako zitimie.
Yani kosa lako ni kumpondea tuu kaka wa watu ila bado umemng'ang'ania. Wa nini? Hafai,muacheee.
Unaendelea tuu kumdrain (physically emotionally and possibly financially )
Sio poa hata kidogo. Imagine ingekua wewe umefanyiwa hivyo. Sio freshhh. .ka ana mapungufu tafuta size yako. Sio kutake advantage kujiona mjanja kisa amekupenda..in short you are takin him for granted...
Mkataa pema pabaya panamuita.I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Mnawasema wapi huko? Mie siwachukii ila nimeongelea uhalisia.
Tatizo haujaelewa shida yenu ilipo. Sisi vitu tunavyotaka vipo ndani ya uwezo wenu kutupa ni viburi tu vinawafanya mnakuwa wabishi kutupa na ndio maana mnaumia kila uchao. Farasi ukimlazimisha kwenda safari lazima atakubidua kutoka mgongoni pake.Wanawake tukitaka vile vinavyotupa faraja hatujielewi, ila nyie mkitaka vyote basi ndio mna akili!!!!!!!!!! SMH
You pray even to have a small size of a$$ and then you are flat as your palm... Only deep hole under ur waist.... Minor brain as a piece of tablet..
Sasa ndo muone jinsi gani ilivyo ngumu hata kwetu kuchagua kati ya mwanaume anayeweza kuhudumia ila hajui kujali na mwanaume anayejua kujali ila hawezi kuhudumia msitulaumu tunataka vyote kama ambavyo ninyi mnataka vyoteSwali gumu mkuu, mi ukinipa mtihani wa aina hiyo ntapata 'sufuri'
Na hivyo ndugu yako huwa hakubali kushindwa huu uzi anaweza kufikisha kurasa elfu5 akitukanana tu na mtoa mada
Ooh! Kumbe ndiyo ilikuwa maana yako, sawa mkuu! Ina inawezekana kumpata mmoja mwenye vyote japo inakuwa nadra kidogo!Sasa ndo muone jinsi gani ilivyo ngumu hata kwetu kuchagua kati ya mwanaume anayeweza kuhudumia ila hajui kujali na mwanaume anayejua kujali ila hawezi kuhudumia msitulaumu tunataka vyote kama ambavyo ninyi mnataka vyote
Unakuaje malaya na wakati huo huo uwe mnyenyekevu?
Ngumu sana hiyo.
Nashangaa hapa povu linawatoka utadhani wamesingiziwa? Mbona wanawake wa kichaga tunasemwa lkn hatukasiriki maana ukweli ndo huo, Usipoamua kujiongeza unabaki hivyo hivyo
Hao ni wanaume wa kichaga au ni huyo mwanaume wako? Au ushatembea na wanaume wangapi wa kichaga hadi ufikirie ndio kabila lote wapo hivyo?
Labda kunitukana kunawafariji, acha watoe sumu. Najua kwa sasa wataanza kuwatafuta wa Pwani wawafundishe.Nashangaa hapa povu linawatoka utadhani wamesingiziwa? Mbona wanawake wa kichaga tunasemwa lkn hatukasiriki maana ukweli ndo huo, Usipoamua kujiongeza unabaki hivyo hivyo
Senkyu
Am regulating this desperate tiddler...Maoni gani hayo ya kutukana
Never thot he can stoop that low.
Msalimie.