Wanaume wa kiafrika... hii bado ni challenge!

nenda mitaa ya sleepway uone dada zetu walivo na vibabu tena bila hata aibu..............YOTE NJAA TU.

Sasa kwani sisi ni sawa na dada zetu?
Posta (dar), Moshi hata Atown kuna vijana kibao wana ndoto za "kuolewa" na demu wa kizungu
 
wala si njaa ni mapenzi kwa taarifa yenu
mmetuchosha na bwebwe zenu
na tutazaa nao sana tu life goes on
ahahaa aa

Kwa mapenzi ya dhati hyo ni sawa kabisa.
Ila usiliruhusu hlo kukupeleka kwenye mahusihano eti ni mzungu!
 
Mkuu siku moja tembelea pale via via uone vituko au masai club uone mambo vijana wa kiafrica wanavyopapatikia wapate wanawake wa kizungu au wasichana angalau wapate hata babu wa kizungu
 
Ahhhhaaa, hizo zinaweza kuwa propaganda za wazungu kutudhalilisha, ingawa sikatai kuwa kuna vijana wengi tu wanatafuta wanawake wa kizungu wa kutembea nao pengine hata kufunga nao ndo ili watoke kimaisha. Kwa upande wangu, nasisitiza kujiheshimu na kuthamini utu wako binafsi wewe mwenye tabia hizo. Pia hujitendei haki wewe na nafsi yako kwa kukubali kuishi na hao white women kwa sababu ya njaa! Mwanaume kweli hawezi kukubali kulelewa!
 
Mkuu siku moja tembelea pale via via uone vituko au masai club uone mambo vijana wa kiafrica wanavyopapatikia wapate wanawake wa kizungu au wasichana angalau wapate hata babu wa kizungu

Yaani ni kituko, nakuwaga pale Luxe midamingine.... Utaona washkaji wanavyojitutumua mbele ya hivi vitoto!

Ah ila nasikia mzazi unamiliki white chicks kadhaa hapa mjini hahahahaha
 
Yaani ni kituko, nakuwaga pale Luxe midamingine.... Utaona washkaji wanavyojitutumua mbele ya hivi vitoto!

Ah ila nasikia mzazi unamiliki white chicks kadhaa hapa mjini hahahahaha

Wacha fujo zako wewe hakuna kitu kama hicho
Sina kitu kama hicho bana
 
Ahhhhaaa, hizo zinaweza kuwa propaganda za wazungu kutudhalilisha, ingawa sikatai kuwa kuna vijana wengi tu wanatafuta wanawake wa kizungu wa kutembea nao pengine hata kufunga nao ndo ili watoke kimaisha. Kwa upande wangu, nasisitiza kujiheshimu na kuthamini utu wako binafsi wewe mwenye tabia hizo. Pia hujitendei haki wewe na nafsi yako kwa kukubali kuishi na hao white women kwa sababu ya njaa! Mwanaume kweli hawezi kukubali kulelewa!

Heshima kwako HP!
Kweli hyo kauli ya kibaladhuri ilitoka kwa huyo jamaa mbaya, na ukiisoma hiyo hotuba yake (i-search hapa jf) ni aliongea kila neno la laana juu ya watu weusi hasa wa afrika. Mengi yalikuwa yakuumiza hisia, ila hlo ambalo nmenukuu nalo ni baya sana kwa maana ya kutudhalilisha ila kwa bahati mbaya sana unabii huo mbaya unatimia.
Tena sasa ndio unashika kasi hadi kwa wasomi.
Pia nikasema hii challenge kwa wanaume wakiafrika sababu kweli mademu wa kizungu wanatuangalia kama sisi ni cheap na anaweza kukupata mda wowote akikutaka.
 
Wacha fujo zako wewe hakuna kitu kama hicho
Sina kitu kama hicho bana

Basi KB!
Ila inabidi uwaonjeshe hako ka kb watoto wa kizungu sio unawaacha ma-ras wa Via via wanajichukulia umaarufu hahahahaha
 
Basi KB!
Ila inabidi uwaonjeshe hako ka kb watoto wa kizungu sio unawaacha ma-ras wa Via via wanajichukulia umaarufu hahahahaha

Waache maana wao wanatafuta maisha bana
Na wanatafuta wale wamama au bibabu vya pale kwa ajili ya maisha bana
So mkuu huko siingii kabisa
 
Kabisa na wakibahatika kuwapata hao wamama au wababu wao wanajua watakaa nao kwa muda mfupi na kama ni mshiko watawaachia wa kutosha au watapelekwa nje

hahahahaha mkuu unawaelewa sana vijana wako!
Juzi mdogo wangu ambaye ni guide hapa town kapata "dili" la kwenda kumbembeleza kibibi cha miaka 62 huko Serena.
Nasubiri arudi aje kunipa experience yake
 
QUOTE=jouneGwalu;2680775]hahahahaha mkuu unawaelewa sana vijana wako!
Juzi mdogo wangu ambaye ni guide hapa town kapata "dili" la kwenda kumbembeleza kibibi cha miaka 62 huko Serena.
Nasubiri arudi aje kunipa experience yake[/QUOTE]

Ndio wanachokitafuta mkuu na wanatafuta kupata utajiri wa hao vibibi ambavyo vingine vimeshajichokea havina hata ladha ya kulala na kijana rijali ambaye ndio kwanza anaingia kwenye ulimwengu wa mapenzi
Tamaa mkuu zinatupeleka sana na ndio zinazofanya vijana waingie huko na ni tamaa ya mali inayowasukuma watu kufanya hayo n
 
Wanawake wa kizungu hutongoza.
Wana pesa
Freaky.
Other tah that, hamna.
 
Mkuu inakuwa hivyo kwa huko Africa lakini ukiwa kwao yaani ughaibuni wanawake weupe ndo wanatamani sana kuwa na waafrica yaani watu weusi... Nionavyo mimi ni ile hamu ya kutaka kujua kuna nini tofauti. Ndio kutoka kimaisha nalo ni jambo linalochangia pia.
Nakuunga mkono mazee.
 
nenda mitaa ya sleepway uone dada zetu walivo na vibabu tena bila hata aibu..............YOTE NJAA TU.

Nilishuhudia ndoa moja ya binti wa kitanzania, alikuwa na miaka 27, na mwanaume mweupe ambaye alikuwa na 54 yrs............mhhhh!! kweli njaa mbaya sana. Mimi hata siamini kama hapo kuna mapenzi ya kweli!
 
Back
Top Bottom