noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:
Daaaaah Muke ya Muzungu, mutoto ya fisadi! Kwa hiyo bila nyumba hakuna ndoa
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!
halafu nahisi wewe ni natalia..:becky::becky::becky::glasses-nerdy:
waoe mahausigeli simpo.....
Ha ha haaa haaaaa! Mbona mie ndio nikuwa nahisi wewe imaney ni Natalia? Umeniwahi tu kusema. Mimi na Natalia ni watu wawili tofauti sana! Yaani ni kama mbingu na nchi!
ni wachache sana wanapenda kujiweka smart,wengi wanadhani kuwa rough na kunukia kibeberu beberu ndio UANAUME.... :der::der::der::happy:
Kaolewe na mzungu uone kero yake.....kweni kuwa nyororo ndio inamaanisha unashindwa kufanya majukumu yako kama mke? mie sioni tatizo lipo wapi....gadgets kibao siku hizi washing mashine, rice cooker, dishwasher sii ununue tuu na bwana wa kiafrika bado atakupenda tuu....usilete sababu ambazo hazina msingi
Kuna uzi kauanzisha anataka Wanaume wa Kiafrica tumwambie awafanyaje wazungu ili awa turn on.
Mbona wakiwaoa hamuishi kulalamika?
Asenti. Duh, mwaka huu mianaume miafrika tunalo. Kina mama washajithaminisha sema thamani yao imezidi sabuni. Ni gari, nyumba, computer shopping (sijui ndo mdudu gani huyu), etc etc.
Namwambia bibi asinilazimishe kuoa tena maana mianamuke miafrica inatafuta wadhungu!