Penzi pesa na nyumba ya fahari.huna hivyo usijiite mume Jiite deadbeatKwa hiyo wewe thamani yako ni nyumba na fedha.. Are you cheap to that extent? mi nilidhani usawa mnaoutafuta ni kila kona hii sasa imekaaje? mm hakuna bidhaa ya kunilinganisha nayo hapa duniani! kumbe wewe unathaminishwa kwa pesa or Nyumba?
Wana wakiafrica wanahitaji moyo jamani duh .yaani ningekufa na ugonjwa wa moyo
Daaaaah Muke ya Muzungu, mutoto ya fisadi! Kwa hiyo bila nyumba hakuna ndoa
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
Kariakoo ni vicheche hizo ni nyumba.sijawahi Kufika kariakoo nikija bongo vacation mfanyakazi Anaenda.zamani Sana nilikuwa naenda kinondoni TX Enzi hizo .funga ndoa na maghorofa ya kariakoo bas, maana ww shida yako majumba na mahela
ndoa imeingia mitini?
King Julian King'asti, njoo uokoe roho inayotaka kuacha mwili hapa.
Kariakoo ni vicheche hizo ni nyumba.sijawahi Kufika kariakoo nikija bongo vacation mfanyakazi Anaenda.zamani Sana nilikuwa naenda kinondoni TX Enzi hizo .
salamu za krismas kwa all deadbeats, mlio na nyumba zisizo za kifahari mbagala charambe, kiburugwa, mpigi magoe na za kufanana na hizo.Penzi pesa na nyumba ya fahari.huna hivyo usijiite mume Jiite deadbeat
Bila jumba la dhamani na bila fedha sina Muda.mwanaume pesa huna pesa unaliwa tigo
yaani hiyo king julian imenifanya niangue kicheko!
usinione mdomo hapa jf, Paw nampikia, namtandikia kitanda, namfulia hadi teitei na hanjifu, namsugua mgongo na miguu. Shauri yao vijana, hawajashtukia kuwa ndoa ni Plan C mjini (plan b ni ile ya lara1 ya kuiba safe zimazima kama kwenye the italian job)
kwa historia ilivyo ina maana na mzee N nae alikuwa analiwa tigo au?Bila jumba la dhamani na bila fedha sina Muda.mwanaume pesa huna pesa unaliwa tigo
Penzi pesa na nyumba ya fahari.huna hivyo usijiite mume Jiite deadbeat
kwani uongo??? mtu akiwa mrembo anajipenda,huwaga hamuweki long term plans mnataka hit and run na wengine mahandsome ya mjini yameoa kijijini ili yatanue watakavyo mjini bila kuulizwa lol:becky::becky::becky:
Yaani nyie akili zenu mnazijua wenyewe!Penzi pesa na nyumba ya fahari.huna hivyo usijiite mume Jiite deadbeat
yaani hiyo king julian imenifanya niangue kicheko!
usinione mdomo hapa jf, Paw nampikia, namtandikia kitanda, namfulia hadi teitei na hanjifu, namsugua mgongo na miguu. Shauri yao vijana, hawajashtukia kuwa ndoa ni Plan C mjini (plan b ni ile ya lara1 ya kuiba safe zimazima kama kwenye the italian job)
kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?
na ukianza kutaja majukumu ya baba hapa utatolewa macho, yaani wenyewe wanataka uwe kijakaz wao na bado pesa yako aitolee macho,