Kumbe!!!!!Hell
Ngoja hili niseme sijui kama nipo sawa ila kwangu naona kama utoto ulio kithiri kabisa
Una kutana na manzi humu jukwaan mna enda faragha kisha ukitoka tu una kuja kumuanzishia uzi hapa kutoa ya faragha ina shusha heshima na kuonesha kuwa wanaume wa jf sio matured kitu sicho kizuri mna kuja kutubania wengine tukianza kutupa nyavu case study hii ni kutoka kwa member 5 hivi differ tubadirike kidogo
Mbona una tutisha sana una mpango gani embu niambie πShauri yenu....kitakuja kumlamba mtu
Ahahah nan kasema ilo umesema wewe mzee πKumbe!!!!!
Bingwa wa kwenda chochoro na warembo umejiweka wazi....
KabisaUnashauri tubadirike sio mkuu,ila usijali tutabadilika tu
Hapana kama jimbo lipo wazi wai chap πMwachiluwi naona umeamua kukazia jambo jana katila pita pita niliona kuna mdau amesema hili swala,,vipi mkuu kuna jimbo unataka kutinia Nia vijana wanataka kutubomolea CV .
Au sio ndio furaha yenuAcha walete hayo ya faragha kijiwe kichangamke.
Nakuona umechangia kwenye thread ya muhuni mwenzako...Mungu nifundishe kunyamaza
Acha unafik bs πHivi kumbe humu kuna wanawake mkuu....π€
Basi watu mnafaudi sana wallah...π
Kabisa jauAiseee,,,,, wamekomba mchuzi umebaki ugali ? π
Uchangamsheuzi munaufanya unapoa watu wa vibe muko wapi mana wanaochati humu wote walokole
Sasa kama watu wanatongozana na kukubaliana bila kupimana afya ya akili sisi tufanyaje?? Walete tu pachangamke , wasindikize na vi photoπAu sio ndio furaha yenu
Hivi kumbe humu kuna wanawake mkuu....π€
Basi watu mnafaudi sana wallah...π