Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Hata nikikutajia huyo mtu sasa hivi haina tena maana lakini kama ungekuwepo humu kuanzia miaka ya 2010 kule MMU, CHELSEA SPECIAL THREAD na MITINDO MAVAZI NA UTANASHATI ndio ningekuambia hebu ngoja nione huyo mtu kama yupo humu maana kapotea kabisa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Sio mzee wa assist kweli ?
 
Hahahahaha huyo mtu usingemzania kabisa Mwana Liverpool mwenzangu
Humu JF kila kitu ni fake si unaona hata ID zetu wengi ni feki?
Uhalisia humu upo kwenye thread za Mpira, Siasa na Technology and gadget hizo zingine kila mtu huwa anajifanya yupo level za juu. Halafu JF ya sasa hivi imepoa sana aisee kipindi hicho 2015 kurudi miaka ya Nyuma ilikuwa ni JF kweli kweli kulikuwa kuna Members humu aiseee
Pamepoa humu sijui kwa sababu ya kizazi kipya cha 2000.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Nitajie basi,na mimi nisipitwe,aliyewaingiza mkenge nyie wote hadi boss wetu Mhe Melo.
Bado siamini kama kweli kila kitu ni feki.
Mbona kuna watu wazuri tu humu nimefahamiana nao..japo na wabaya wapo pia .
Nimwchuja na kubaki na wazuri tu.

I wish ningekuwepo na mimi enzi hizo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sema kilichokuja kuzingua ni pale Maxence alipoanza kubabambikiwa makesi ya ajabu ajabu na utawala kwa kumlazimisha atoe email za Users ndio hapo ma great thinkers wa ukweli waliamua kuondoka humu halafu walikuwa ni watu waungwana sana yaani. Na hata Mimi kwa kipindi hicho nilikuwa na miaka 22 Kuelekea 23 nilianza kukomaa kiakili nakumbuka kuna great thinker mmoja alikuwa ni PhD holder na alikuwa ni Daktari Uingereza aliomba namba yangu akawa ananipigia na aliporudi Tanzania alinipigia tukaonana pale JB BELMONT Bar NSSF HQ Posta hakuamini kama ndio Mimi aisee. Alinunulia bia za kutosha na dola 100. Halafu ni Msukuma mwenzangu ilikuwa poa sana kipindi kile hata kwa Maxence nimepanda sana Gari yake yoyote kwa yoyote Mungu ambariki sana Maxence kupitia hii Forums na Connections za michongo zilikuwa ni uhakika lakini sasa hivi Members wanawaza Mapenzi na maisha ya maigizo hakuna lenye maana sana zaidi ya kuambulia msongo wa mawazo tu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Kumbe kadogo hivyo.

Hadi Maprofesa waungwana walikuwepo??
Aisee,naomba connection,huenda na mimi nikapata connection maisha magumu mtaani

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sema kilichokuja kuzingua ni pale Maxence alipoanza kubabambikiwa makesi ya ajabu ajabu na utawala kwa kumlazimisha atoe email za Users ndio hapo ma great thinkers wa ukweli waliamua kuondoka humu halafu walikuwa ni watu waungwana sana yaani. Na hata Mimi kwa kipindi hicho nilikuwa na miaka 22 Kuelekea 23 nilianza kukomaa kiakili nakumbuka kuna great thinker mmoja alikuwa ni PhD holder na alikuwa ni Daktari Uingereza aliomba namba yangu akawa ananipigia na aliporudi Tanzania alinipigia tukaonana pale JB BELMONT Bar NSSF HQ Posta hakuamini kama ndio Mimi aisee. Alinunulia bia za kutosha na dola 100. Halafu ni Msukuma mwenzangu ilikuwa poa sana kipindi kile hata kwa Maxence nimepanda sana Gari yake yoyote kwa yoyote Mungu ambariki sana Maxence kupitia hii Forums na Connections za michongo zilikuwa ni uhakika lakini sasa hivi Members wanawaza Mapenzi na maisha ya maigizo hakuna lenye maana sana zaidi ya kuambulia msongo wa mawazo tu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Umemaliza yote mkuu, umenikumbusha mbali sana mimi pia nlkua na umri kama wako kipindi hiko so Jf ikanikuza kiakili.
 
Back
Top Bottom