Wanaume wa JF mna shida gani?

Wanaume wa JF mna shida gani?

Asante, mimi ni mgeni humu lakini natamani ningeijua JF tangu mwaka 2010 nikajiunga maana huwa nakutana na baadhi ya nyuzi za miaka hiyo na ninaona namna watu walivyokuwa wanachangia kiustaarabu kulinganisha na sasa yaani najutia sana kuchelewa kuijua JF
Marianah mambo yamebadilika si tu kwenye Jf bali hata kwenye jamii tuishiyo wa kuwaegemea kupata angalo ushauri ni wachache mno. Muhimu ni kila mmoja anayejitambua kujifundisha na kuepuka kufuata mob.
 
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom