Wanaume wa Jf Kuweni Wabunifu.....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Kuweni Wabunifu mjifunze mbinu mbali mbali kukabiliana na maisha....

ikibidi........na ibidi...


Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hahahahahaha, hii kali ya mwaka...
Ngoja nimtag fulani aje ajifunze.
 
Mtoto akililia upande wa pili wa kifua, inakuwaje?
 
Mh kwa jamii yetu ya kiafrika ilivyolelewa na imani potofu yataka moyo
 
Aah, sasa nimeelewa jinsi gani mnaweza ku raise children! Lkn si kuna sayansi ya kuwa na mchina iliyokuwa attached au???

BTW
Very funny!
 
Kuishi kwingi kweli kuona mengi. Nimeipenda sana, yaani bonge la improvisation of local available materials.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…