Wanaume wa huku muache mapozi



kuna njemba humu ilinitangazia dau la elfu 50000 eti nikaishikishe ukuta na accomodation juu yake??!! Hakika alinikera,yaani mwanaume unatoa hadi hela uingiliwe na mwanaume mwenzio??!! Huyu jamaa mpuuzi sana, yumo humu jf,maza Fanta zake!!!!
 


Asilimimia mia haya ni maneno ya wivu.
 

Angalia lakini, hata wahenga walisema usione ukazani................
 
Watu wanajishaua sana humu......anakwambia.....nipo hapa Kunduchi Beach napata gin kidogo.......kumbe yupo Hongera Bar.......chezeya JF wewe........
Preta umenichekesha mwenzio. Hongera bar.......ha ha haa
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndo umekuja kunisema hapa? Nisamehe turudiane.
 
Tuache utani. Hii thread yako inanikumbusha zamani kidogo nilivokua naanza kazi, nilikuwa nafanya kazi ya kudeal na wateja online. Si nikamtongoza dada mmoja alikuwa na sauti nzuri sana. Sasa siku ya siku tukapanga apointment, du kilitokea kitu cha ajabu, yule dada ni mbaya kwa sura kwa kweli. Uzuri tulikubaliana tukutane kituo cha basi, nikajificha kwa mbali nione anayepokea simu, nilikoma kabisa na sitorudia tena.
 

Hahaha.....sina mbavu hapa.
 
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?

Hihi hihiiiii .. Smile bana... Eti ulikesha hapo, mtake radhi mwenzio lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
sipendi longolongo

Jamaa jamaaaa... Kama sikosei wewe umesema ulikuwa nje kusoma(nahisi umesahau asili lolz).

We ulishindwa tu kumvulimia my jf brother. Coz SAA KUMI NA MOJA KWA MTZ NI KUMI NA MBILI.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
we Black Bat hujui tu , usingemkwepa Retired Sister, ungeonana nae kisha ungempotezea baadae, ungemwambia umeona hamuendani, kisha ungeomba muwe frends tu.
 
Last edited by a moderator:
Sio vizuri, ina maana na sie wabaya wa sura mpaka shepu hatutapata wachumba!
Msitubague.
 
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?


Mhemko, alishafikiria namna mguso wa kwanza wa dhakari utakavyokuwa.
Alisaloa tangu aliposema anaendaa steers kukutana na mdau;
Mdau wa zinaa.

Bazazi!
 
hawana hata maana. toto umejikwatua wenyewe wanaleta miyeyusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…