Wanaume wa hivi ni hovyo

Koma mwenyewe kama topic inakuboa kakojoe ukalale mfyuuuuuu

Mbona unakurupuka, hajasema 'koma' , kasema komaa, yaani ukaze buti, kakushauri kwa upendo wewe unamtukana, ndiyo maana mme wako akaku ignore. Hovyo
 
Njoo kwangu, nitakujali sana nitakuimbia hadi nyimbo na kukusimulia hadithi za Sindelela...
 

kama yuko hivi halafu haelewi kwanini hujali genye zake basi ni zaidi ya kichwa maji!!!
 

Nimekusikia ila usipende kunisema hadharani.. bora ungeniambia tulipokuwa faragha ningekuelewa.
 
Utakuwa unanisema mimi kwani ndo nimeumbwa hivyo na kinacho niuma zaidi hasa pale unashinda salama ikifika usiku ndo unazidiwa dah au ukisikia nina shughuli ya kuondoka nyumbani basi wewe ndo unaugua ili nisiondoke lkn haya ndo maisha tuliyochagua. Punguza kuugua usiku huitendei haki ofisi yako kwani huo ndo muda wa kudisplay your competitive advantage!
 
hehehee
:lol:

:nono::nono::nono:

Kifungo cha nje umri huu. Mungu akikujaalia miaka mingine 40 ya umri, daah.
Nimekusoma mara sita sijaelewa ujue, nataka niombe msamaha fastaaa
 
kama yuko hivi halafu haelewi kwanini hujali genye zake basi ni zaidi ya kichwa maji!!!
Wapo kaka wameaminishwa kuwa "penzi" linamaliza ugomvi au kutoelewana na mashosti wakimwambia ye mzuri huko job baas anaona kama wanaume wooote wakiambiwa habari ya ku doo wana surrender sasa wengine tukiwa na hasira halafu huyo bi dada akianza kuji babyisha ndio kichefuchefu kinapanda kabisaaa
 
Teh teh teh teh ! Nimempata pacha wangu!
 
hehehee
:lol:

:nono::nono::nono:

Kifungo cha nje umri huu. Mungu akikujaalia miaka mingine 40 ya umri, daah.
Nimekusoma mara sita sijaelewa ujue, nataka niombe msamaha fastaaa

Ha ha haaaa utaelewa tu ukimuona muheshimiwa jaji anashusha miwani na kuanza " ili iwe fundisho kwa wengine wenye muenendo kama wako. . . . . . . . .

Umri huo ndio haswa kifungo cha nje kinahusika ili uendelee kutunza watoto wasio na hatia. . . . . . .Huku unatumikia zao la matendo yako
 
Dah!, aisee nawashauri wanaume wenzangu msifanye haya anayetaka huyu dada mwenye hii post, wanawake wa huko duniani ni sawa unaweza kuwafanyia hivyo na likaongeza zaidi chachu ya mapenzi ila sio wanawake wa kiafrika hususani watanzania kwani ipo siku utalia machozi ya damu.

Ninachojua mimi sio kwamba wanaume hatupendi kufanya hivyo ila tunaogopa namna wenzetu wanavyopokea na kutafsiri hilo jambo, ukiwafanyia hivyo kwanza watakuona mume ----- halafu akishanogewa na huduma zako ili usiache atakwendea kwa babu ili uzidishe zaidi na mwisho wa siku utakuta hata kazini huendi kisha mkeo anaumwa hivyo unamsaidia kazi za ndani. Pia atakutangaza kwa wenzake na kwa michepuko yake kuwa ameshakuteka akili, pia ukizoea sana mwisho inakuwa tabia na mtaanza kupangiana ratiba ya usafi ndani.

Japo sio wanawake wote wanaweza kufanya hivyo ila ni taadhari tu maana hakuna alama inayowatenganisha kuwa huyu anaweza kulichukulia jambo positive or negative. Wanawake wa kibongo hasa dada zetu wa siku hizi hata hawaeleweki, ukiwa na pesa watakuambia lakini mapenzi huna, ukiwa maskini watakudharau lakini watakuona mapenzi ya dhati unayo japo mfukoni upo empty.
 
mi naona ninaingia kwenye kundi uliloita wa hovyo maana kama ni usiku na issue sio ya hospitali nitahoji tu panaumaje kama kuna solution nasaidia ila kama issue ni ya kesho na hana dalili ya kufa nalala ili niwahi kuamka . asubuhi tutaendelea kuuguzana. Wanawake wanatuona tu hawajui nature ya kazi zetu wanaamini unaweza tokatoka tu au pigapiga simu, somasoma meseji hovyo na tufacebook
 

Hatuwaani, mnajifanyisha makusudi ili kutuwekea zamu za lazima!
 
shida zako za nyumbani zinakufanya uone wanaume wengine wako kama huyo wako,hiyo ni tabia ya huyo wako tuu,na chakukusikitisha ni kwamba hamna mwingine mwenye tabia kama za huyo wako!!
 
watoto wanapenda asali, hawapendi ukali .ukimdekeza atakufanya tambara la deke money@ honey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…