Wanaume wa hivi ni hovyo

Mie King'asti umenielewa vizuri sana. Nami nimekusoma kabisaaa comments zako
 
Last edited by a moderator:
Teh sista, kabega tu pole mara sita?
Kudeka sawa lakini nyie bhana mmezidi kwa kweli, wajua ukideka sana mtu hawezi jua kama kweli waumwa au ndio kama kawaida yako..
Afu kwa nini wanawake hupenda sana kutumia dawa?.

Mtumishi mambo. Sasa mtumishi kudeka sawa kuna watu wanatabia ya kudeka lakini kama mtu sio kawaida yake u cant assume akiumwa ni kudeka. Sio kuumwa tu hata stress zingine za kimaisha. Kwanza mpenzio asipokudekea wewe akamdekee nani? Ndo utakuta shamba boy yeye ana care zaidi ya mpenzi wako. Maana ukiamka asubuhi utasikia shkamoo mama, mbona leo unaonekana hauko sawa? Mpenzi wako mwenyewe hata kuku notice haja notice! Hata office mate sometimes utakuta akikuona tu anakuuliza upo sawa leo? Mpenzi ndo kwanzaaaa hana habareee...
 
Lol huna mkojo au huna usingizi...? Stress za mitandaoni hizi lol ebu nipishe mie

Nimekuzuia.!? Unataka mkojo upi labda. Nkumwagie.!

Unaonekana umetingwa wewe, si bure.
 
Katiba yangu inasisitiza ukakamavu na kugangamala...
Ni mwendo wa mguu pande mguu sawa...hayo mambo ya kubembelazana kama yai yalishapitwa na wakati tangu enzi za kutongozana na kipigiana misele...
Sasa hivi tunaongozana kwa mujibu wa katiba uliyoikuta madarakani...
 
Unakuta mtu akijikata kiwembe tu basi anataka siku nzima watu wasimamishe shughuli za kulijenga taifa kwa ajili yake yeye...anataka kuona watu wamemzunguka kitandani huku wakikipuliza kidole alichojikata.....hahahaaaa..
 
Kasema komaa na si koma??? povu la nini sasa?

Tatizo dogo la kiundishi linasababisha zogo na kupelekea kuharibu uzi..hapa inatakiwa busara itumike...
Kwani usipomjibu mtu aliyekujibu vibaya unapungukiwa nini...??
Grow up guys...
 
Unakuta mtu akijikata kiwembe tu basi anataka siku nzima watu wasimamishe shughuli za kulijenga taifa kwa ajili yake yeye...anataka kuona watu wamemzunguka kitandani huku wakikipuliza kidole alichojikata.....hahahaaaa..
Lol sasa kama unamjua mtu wako si mara moja moja umpulize basi yaishe, atafurahi atalala. Sio kila siku mpera mpera tu
 
Hivi inawezekana akawa anajali genye halafu kwenye ugonjwa akawa hajali???

inawezekana wapo wanaume ambao when it comes to unyumba yupo makini sana ila mambo Mengine wala hajali..
Sasa usiombe ukakutana na asiyejali vyote utaomba poo Walah...
 


Mie mzima mtumishi. Unaninyima mambo mazuri..we haya tu.
Swala la kusaidiana wanandoa halikwepeki, mtu akiwa moody lazma ujue nini shida, akiwa na tatizo professionally pia, financial issues na hasa ugonjwa.. Muhimu kusikilizana na kusaidiana kubeba mizigo yetu.
Shida ni moja tu 64Bits, mtu anapokuwa na tendency ya kulalamika kila siku, haishi kuumwa leo hapa kesho pale...ni tatizo sana hilo sababu mwisho huwezi jua kweli huyu ni mgonjwa au ni malalamiko ya kila siku. Mimi nadhani, kama sio mtu wa kulalamika ni rahisi kuwa serious nae, kama sio mtu wa kudeka ovyo (sio ile ya kimahaba) ni rahisi sana....
Lakini pia ni kweli kuwa most vidume hatujali kabisa...
 
Last edited by a moderator:
hivi umeshindwa kuongea nae hadi unapost udhaifu wa mume wako humu!:what:πŸ˜‰ nakushauri uachane nae hakujali.....hakufai....uje kwangu uone ntakavyokujaliπŸ˜€πŸ˜€
 
Tena hawa wenzetu wakiugua utafikiri roho inakaribia kutoka . Lkn wanaume wasiojali ni vizuri wajifunze sio kusingizia sijui mtu akipendwa anadeka haifai.
 
Aaah poleee eeenh.. hakujulii huyo inaonekana wa mkoa uleee,, mwanamke ni wakumfanyia mema ili akufae siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…