""Wanaume wa Dar""

EricMan

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,716
2,916
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"

 
Back
Top Bottom